Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

Kwani Mashinji alisharudi CHADEMA? Nilipitwa na habari za huzuni! Mbowe kaona mbali, kwa sababu CHADEMA kwa sasahivi haina wanasiasa. Lissu na Mnyika nao wameona mbali, kwani wanatetea matumbo yao na si kwa maslahi ya chama. Hata hivyo Dr Slaa kwa sasa ni mav-i ya kale, hana issue yeyote.
Kifupi kwa CHADEMA ilivyo sasa hivi, 2025 hata wabunge 15 TZ yote hawapati. Suala la Bandari halitwaongezea Kura.
 
CHADEMA hakijawahi mkataa mtu yeyote... HAKINA filter hiyo... ANYONE HAS A PLACE IN IT
 
Alisahau nini Chadema? Si aliapa ameachana na siasa?
 
Labda kwa tume ya policcm lkn kwa Tume huru Ccm isahau kuingia ikulu
 
Nyuzi za chadema utashangaa wachangiaji na washauri ni maccm😆😆😆
 
Asieudi akae huko huko mnaafiki mnaafiki tu
Alisaliti kanisa
Akasiliti mke
Kasaliti chama
Usaliti damuni huyuuu
 
Labda kwa tume ya policcm lkn kwa Tume huru Ccm isahau kuingia ikulu
Nyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!
 
Bandari kwanza
 
Bila shaka unashabikia Uto wewe...
 
Hata mama yako anaweza rudiana na boyfriend wake wa zamani kipi cha ajabu Slaa kurudi chadema
 
Kwa sasa tuko Busy Kuinusuru Bandari zetu
 
Nyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!
Mada inahusu Chadema ushauri unatolewa na wanaccm.....maajabu
 
Dr Slaa hawezi kutamani wala kuwaza kurudi CHADEMA
ni mtu special saana.
Hakuna chama chenye level yake Kati ya CCM na CDM.
Dr Slaa ni level ya kina Magufuli, Nyerere, pro Shivji na wazalendo wengine.
Sio mchumia tumbo km wewe mleta mada
 
Hakuna rafiki wala adui wa kudumu kwenye siasa
 
Nyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!
Mikutano ya cdm inaamsha hisia za watu wengi tofauti na nyinyi mikutano yenu imedoda sana huyo chongolo anazunguka tu na wasanii mikutano yenu mimi huwa naiona ni kama matamasha tu watu kwenda kuburudika
 
kasumba ya kumsajili pele 2006 wakati mpira wake umeisha1970! utategemeanini hapo?
 
Mikutano ya cdm inaamsha hisia za watu wengi tofauti na nyinyi mikutano yenu imedoda sana huyo chongolo anazunguka tu na wasanii mikutano yenu mimi huwa naiona ni kama matamasha tu watu kwenda kuburudika
Tafadhali, picha ya NYOMI kijijini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…