Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Kwani Mashinji alisharudi CHADEMA? Nilipitwa na habari za huzuni! Mbowe kaona mbali, kwa sababu CHADEMA kwa sasahivi haina wanasiasa. Lissu na Mnyika nao wameona mbali, kwani wanatetea matumbo yao na si kwa maslahi ya chama. Hata hivyo Dr Slaa kwa sasa ni mav-i ya kale, hana issue yeyote.Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Kifupi kwa CHADEMA ilivyo sasa hivi, 2025 hata wabunge 15 TZ yote hawapati. Suala la Bandari halitwaongezea Kura.