Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.

Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa, Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu, na Mnyika wamekataa kuridhia.

Baadhi ya wana CHADEMA wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais, huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada, Mbowe au Lissu?

Ulichiandika ni Ujinga sana, anarudije sasa?
 
akirejeshwa the Mbowe agombee Urais coz anawazidi wote pakubwa Kujiamini na Uzalendo usio shaka, Uvumilivu na Ustahimilivu usiokoma, Uthibutu, hekima na Busara za kiuongozi na hivyo anaaminika na atavutia wengi. Hoa wengine ukimuangalia na kumsikiliza vizuri, tone na expressions zimejaa ukibaraka ukibaraka hivi
Mbowe kisha poteza nuru ni mtu dhaifu sana huyu

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
CDM walishapotezwa siku nyingi...arejee au asirejee hakuna kitachobadilisha nguvu yao
 
Slaa kalianzisha na Rostam Aziz, aelewe kuwa hatofanikiwa popote aendako, kamchezea simba sharubu.

Hivi haelewi kuwa yule kwanini anaitwa King Maker?
 
Nyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!
Utaziona wapi wakkati unasoma gazeti Uhuru, Mzalendo na ya aina hiyo?
 
Angekuwa na pesa angekaribishwa mbio mbio kwa matarumbeta. Kwanza hilo zee jinga halafu saliti, halafu halina mvuto tena. Abaki na ukachero wake wa kizamani.

Hivi ana uadilifu huyo wa kukubalika kwenye siasa kweli? Mtu anabae hata kanisa limemtema. Kabaki kuwa ni kachero wa kanisa tu.
 
Slaa kalianzisha na Rostam Aziz, aelewe kuwa hatofanikiwa popote aendako, kamchezea simba sharubu.

Hivi haelewi kuwa yule kwanini anaitwa King Maker?
King maker wako jana kachachafwa na majaji anajiumauma tuu meno. Mi sikuona kama kulikuwa na umuhimu wa kuongelea jambo ambalo aliongea akiwa anaelewa na anaakili timamu kwani ni kesi ngapi amepiga simu kisutu yeye na maswahiba wake?
 
Angekuwa na pesa angekaribishwa mbio mbio kwa matarumbeta. Kwanza hilo zee jinga halafu saliti, halafu halina mvuto tena. Abaki na ukachero wake wa kizamani.

Hivi ana uadilifu huyo wa kukubalika kwenye siasa kweli? Mtu anabae hata kanisa limemtema. Kabaki kuwa ni kachero wa kanisa tu.
Dr Slaa hajawahi kumsaliti Mushumbusi ana Chama chochote
Dr slaa atazikwa akiwa ni mtu alitesimamia ukweli siku zote
 
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.

Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa, Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu, na Mnyika wamekataa kuridhia.

Baadhi ya wana CHADEMA wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais, huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada, Mbowe au Lissu?
Ngoja kwanza,slaa aliyewahi kuwa rais wa TLS ndio yupi?
 
Dr Slaa hawezi kutamani wala kuwaza kurudi CHADEMA
ni mtu special saana.
Hakuna chama chenye level yake Kati ya CCM na CDM.
Dr Slaa ni level ya kina Magufuli, Nyerere, pro Shivji na wazalendo wengine.
Sio mchumia tumbo km wewe mleta mada
Mbowe anamtaka aje, lakin pia mwanasiasa bila jukwaa la siasa anakua dormant
 
Huyu poisonous yuko hapa kwa malengo ya kumlinda Samia na udhaifu wake wa kuuza bandari zetu, hana kazi nyingine ya maana anayofanya.
mkuu, dunia haijasimama , mambo mengi yanatokea lazima tuyaseme yote , ndio maana watu wana safiri, wana kula wana kunywa , bandari itaongelewa lakini tusitoke kwenye reli ya mambo mengine pia
 
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.

Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa, Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu, na Mnyika wamekataa kuridhia.

Baadhi ya wana CHADEMA wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais, huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada, Mbowe au Lissu?
Wewe ni muongo . Huu uongo umeutoa katika mahojiano kati ya Tundu Lissu na chombo fulani cha habari, nadhani Global tv wale. Umefinyanga mahojiano yale ili kukidhi haja yako ya umbeya. Hakuna ukweli wowote katika hayo uliyoyaandika hapa. Umejifanya kutoelewa kilichoelezwa na Lissu wakati akijibu uchokonozi wa kiumbea wa waandishi wale.
 
Back
Top Bottom