Pre GE2025 Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wazee hawa walioshika imani za kikatoliki, vizuri sana ukimuweka ndani, endapo kama hana kosa ( ikosala ya kilatini haikopeshi) albadir cha mtoto!
--"Vermes, Cancer, et Vermes penetrant animam tuam".
Tupe tafsiri ya maneno hayo ya kilatini ili nasi tujifunze kitu.
 
Dr Slaa hakutaja usalama wa Taifa wa nchi gani.

Ndio tujue wanasiasa wanacheza na akili zetu.

Hii kesi Dr anashinda asubuhi.
Kwa hiyo haya maneno aliyatamka akiwa Kenya?
 
Mahakama zetu ziko likizo
 
Wamuache huyu Babu apumzike
 
Kwa hyo ww ukiambiwa Mbowe unafahamu kuwa ni nani?
 
Daktari yupo, tuko naye na tumekuwa na mahojiano naye kwa baadhi ya mambo na yanakwenda vizuri kwa hiyo tunaiangalia mifumo ya kisheria inatuelekeza ni nini cha kufanya na taarifa kamili zitatolewa baadaye," -😂😂😂
 
Tupe tafsiri ya maneno hayo ya kilatini ili nasi tujifunze kitu.
Maneno mengi ya kilatini ni cursive word, yana nguvu za kiasili, hivyo ukitamkiwa linafanya kazi kwa 100%,,hiyo albadir ya waislam, japo ilibadilishwa lugha, lakini liiibiwa kutoka Latin, ikawa translated to Arab, bahati Arab pia ni lugha ambayo ipo katika kundi la cursive language!,hivyo ukikosea ukaiba Kanisa la roma, wakiamua, wakatamka maneno ya kilatin baadae wakaenda kwenye mti wakavunja tawi, umekwisha.
 
Haaaaa akitoka utasikia nilikuwa napokea taarifa nyeti sana nikiwa keko mzee kachoka kura miogo jamani si mpeni cake kidogo anadhidi kuzeeka!!!
Umri wa miaka 76 unaupimaje wewe, kwako ni umri mdogo sana wa kuonekana kijana siyo?

Halafu waTz tunapenda sana kushabikia ama kufurahia magumu ya wengine sijui kwa nini!

Huyu mzee anavyosimama na kutetea maslahi ya nchi, hastahili kulipwa bezo na kejeli zenu hizo.
 

Huyu hakimu Mkazi Beda Nyaki si alikua Naibu Msajili wa Mahakama Kuu kanda ya Tanga!? Je ameshuwa cheo au ndiyo taratibu za kikazi!? Naomba kufahamishwa kuhusu hilo wadau wa JF! Asanteni sana!!
 
Polisi watiifu kwa MCCCCM.
Dr exceeded his limits za kudanganya

Akawataje sasa hao vijana wa idara waliomwambia wako tayari kwenda public

hayupo chakademus hayupo ccm lakini he operates like he owns hivi vyama
 
Maisha yamempiga huyu jamaa, yuko hoi kabisa kimwili na kiuchumi.

Inawezekana frustration za maisha ndizo zinamfanya anamangamanga kila mahali kama mtu aliyechanganyikiwa.

Hebu muone. He looks like an ancestors

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…