Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wamemkamata kwa shinikizo la Mwamba wa Kuchange Gia.Amekamatwaje huku bado hawajajua sheria gani itumike kwenye tuhuma yake?au PGO inasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemkamata kwa shinikizo la Mwamba wa Kuchange Gia.Amekamatwaje huku bado hawajajua sheria gani itumike kwenye tuhuma yake?au PGO inasemaje?
Wewe Bado kijana umeshakata tamaa ila mzee wa Miaka 76 bado yuko NgangariHuyu mzee apumzike sasa na sijui yuko chama gani.
Tunahitaji tupitishwe utumwani kwa mara ingine ili medullar oblongata ikae kwenye mhimili wake.Wewe Bado kijana umeshakata tamaa ila mzee wa Miaka 76 bado yuko Ngangari
Kweli Wazungu wataendelea kututawala
Mkuu ndio maana ushoga umebaki kama ngao ya kutoboa maisha kwa vijana wa kileo. Hawana mwelekeo wala maono ktk maisha yao.Tunahitaji tupitishwe utumwani kwa mara ingine ili medular oblungator ikae kwenye mhimili wake.
Mkuu chukua maua yako 💐💐Muacheni huyo "baba wa demokrasia nchini ".
Ndio maana awamu ya pili ya utumwa inafaa wapitishwe wanachukua chako mapema(ccm)Mkuu ndio maana ushoga umebaki kama ngao ya kutoboa maisha kwa vijana wa kileo. Hawana mwelekeo wala maono ktk maisha yao.
Kesi ya Dr Slaa ni Nyepesi mno.
Inaashiria nguvu kubwa waliyonayo Team Lissu
Hajawahi kufungwa hata mara moja wala kutiwa hatianiAibu mzee kuitwa muongo!!
Huyu Sasa ahukumiwe tuu ameshaongea uongo mwingi bila aibu na kasaliti watu wengine anzia kanisa,mkewe,mke wawatu,vyama vya siasa nk
Nadhani anachangamoto ya akili huyu Babu
Anaonewa huruma lkn hii yasasa labda wamwonee huruma maana umri umeenda anatiisha huruma kuwekwa ndaniHajawahi kufungwa hata mara moja wala kutiwa hatiani
Alizungumzia kuhusu file alilopewa na watu kutoka nje likielezea namna na kupambana kama Duma Boko na Chama kilivyoshinda BotswanaFile gani tena?
Kumbuka ni mwanafilosofia mkubwa huyu,hapo tayari kitambo alishajua ni wapi pakutokea.Dr Slaa hakutaja usalama wa Taifa wa nchi gani.
Ndio tujue wanasiasa wanacheza na akili zetu.
Hii kesi Dr anashinda asubuhi.
Hata kama Magonjwa Mtambuka kamchongea shauri yake huyo Slaa😁😁Inasemekana Magonjwq kamchongea
Jamaa yuko vizuriSema hatokaa sana Tundu Lissu
Alizungumzia kuhusu file alilopewa na watu kutoka nje likielezea namna na kupambana kama Duma Boko na Chama kilivyoshinda Botswana
Atashinda ila ndoo kanyeaDr Slaa hakutaja usalama wa Taifa wa nchi gani.
Ndio tujue wanasiasa wanacheza na akili zetu.
Hii kesi Dr anashinda asubuhi.
🤣Dr Slaa hakutaja usalama wa Taifa wa nchi gani.
Hii comment mwanzo niliisoma bila kuangalia aliyeiandika. Baada ya kusoma nikashituka, nikaona ni kama mwandiko wa Lucas Mwashambwa . Kuangalia ID nikakuta siyo yeye.hii ndio misingi ya haki
tanzania tunazidi kuwaka kote ulimwenguni kwa kusimamia sheria hii iko wazi
12B sio pesa ya kitoto.Na ile mipesa ya mama B12 achomoki sema tu mama ataki kuwafunga wazee. Anajua tu ni njaa tu inasummbua! Miogo kila siku ,haaaa!!