welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Huyo mzee mnafki sana, Ni kweli yupo usalama kitambo tu Kama ilivyo kwa mapardi wengi Ila viushamba vya kimbulu havija mtoka tu na uzee wote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo walimkamata bila kujua Sheria inasemaje?!!!Duuh kweli tutafika.Wakuu
Kama muonavyo picha
View attachment 3197638Mwanasiasa mkongwe, Wilbroad Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani twitter).
Dk Slaa amefikishwa mahakamani hapo leo Januari 10, 2025 na kusomewa kesi ya jinai namba 993 ya mwaka 2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki.
View attachment 3197644
Mapema leo Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kumshikilia Dk Slaa.
"Daktari yupo, tuko naye na tumekuwa na mahojiano naye kwa baadhi ya mambo na yanakwenda vizuri kwa hiyo tunaiangalia mifumo ya kisheria inatuelekeza ni nini cha kufanya na taarifa kamili zitatolewa baadaye," - Kamanda Muliro.
Taarifa ya kukamatwa kwa Dk Slaa imesambaa kupitia mitandao ya kijamii, ikisikika sauti ya mwanasiasa huyo akizungumza kuhusu kukamatwa na Jeshi la Polisi na kwamba anapelekwa katika Kituo cha Polisi cha Mbweni, Dar es Salaam.
Soma:
- Dkt. Slaa akamatwa usiku huu nyumbani kwake Mbweni
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria
Natoa ushauri kwa jeshi la polisi ili kutozua taharuki.Wakuu

Alimtaja Mwamba. Halafu akafafanua kuwa Mwamba ni Mbowe. Akasema pia kuwa maafisa wamesambazwa nchi nzima. Itabidi afafanue hao ni maafisa usalama wa nchi gani ambao waliweza kusikiliza mazungumzo kati ya Rais na Mbowe.Dr Slaa hakutaja usalama wa Taifa wa nchi gani.
Ndio tujue wanasiasa wanacheza na akili zetu.
Hii kesi Dr anashinda asubuhi.
Hoja ipo, mzee wa mihogo alihongwa akapewa na ulinzi kusaliti mabadiliko.Alimtaja Mwamba. Halafu akafafanua kuwa Mwamba ni Mbowe. Akasema pia kuwa maafisa wamesambazwa nchi nzima. Itabidi afafanue hao ni maafisa usalama wa nchi gani ambao waliweza kusikiliza mazungumzo kati ya Rais na Mbowe.
Ukweli ni kuwa kwenye hili amejitakia mwenyewe. Na baada ya kumalizana na TISS, Mbowe anaweza kumfungulia kesi ya madai ambamo itabidi atoe ushahidi kuwa Mbowe alizungumza na Mkuu wa Nchi, na kuwa kuna pesa zilitoka serikalini kwenda kuwahonga wajumbe wa Baraza Kuu la Chadema. Alitakiwa amuige Lissu ambae anazungumzia pesa za Abduli bila kuwq specific.
Ila nakumbuka nae aliwahi kusema kuwa watu wasimbilie kumtetea Mbowe kuwa sio gaidi. Sasa na yeye yamemkuta.
Lakini itakuwa vizuri kama DPP atasema hana haja ya kuendelea na hii kesi kama alivyofanya kwenye kesi ya Mbowe.
Amandla...
Kisha wanapata Cancer ♋️ ???! Au ?Wazee hawa walioshika imani za kikatoliki, vizuri sana ukimuweka ndani, endapo kama hana kosa ( ikosala ya kilatini haikopeshi) albadir cha mtoto!
--"Vermes, Cancer, et Vermes penetrant animam tuam".
Nitasikitika sana kama Dk. Slaa atashinda kesi au kesi yake kufutwa.Wakuu
Kama muonavyo picha
View attachment 3197638Mwanasiasa mkongwe, Wilbroad Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani twitter).
Dk Slaa amefikishwa mahakamani hapo leo Januari 10, 2025 na kusomewa kesi ya jinai namba 993 ya mwaka 2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki.
View attachment 3197644
Mapema leo Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kumshikilia Dk Slaa.
"Daktari yupo, tuko naye na tumekuwa na mahojiano naye kwa baadhi ya mambo na yanakwenda vizuri kwa hiyo tunaiangalia mifumo ya kisheria inatuelekeza ni nini cha kufanya na taarifa kamili zitatolewa baadaye," - Kamanda Muliro.
Taarifa ya kukamatwa kwa Dk Slaa imesambaa kupitia mitandao ya kijamii, ikisikika sauti ya mwanasiasa huyo akizungumza kuhusu kukamatwa na Jeshi la Polisi na kwamba anapelekwa katika Kituo cha Polisi cha Mbweni, Dar es Salaam.
Soma:
- Dkt. Slaa akamatwa usiku huu nyumbani kwake Mbweni
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria
Wakuu

Sheria zingeruhusu mtuhumiwa asipofikwa na hatia, alipwe gharama za usumbufu........Wakuu

Uhaini wa DP world uliishia wapi?Anaonewa huruma lkn hii yasasa labda wamwonee huruma maana umri umeenda anatiisha huruma kuwekwa ndani
Na hizo sheria zingesimamiwa vizuri wasingemgusaSheria zingeruhusu mtuhumiwa asipofikwa na hatia, alipwe gharama za usumbufu........
Na alisema ni kati ya Mwamba na Bwana MkubwaDr Slaa hakutaja usalama wa Taifa wa nchi gani.
Ndio tujue wanasiasa wanacheza na akili zetu.
Hii kesi Dr anashinda asubuhi.
Hahaha....mbona unawatisha watoa amri za kukamataWazee hawa walioshika imani za kikatoliki, vizuri sana ukimuweka ndani, endapo kama hana kosa ( ikosala ya kilatini haikopeshi) albadir cha mtoto!
--"Vermes, Cancer, et Vermes penetrant animam tuam".
Upo sahihi, mara kadhaa watu wanakamatwa wanawekwa mahabusu muda mrefu then hawakutwi na hatia, haya ni mambo ya ajabu... Wengine mahabusu upelelezi unaendelea, mara uchunguzi unaendelea...... Pia hata feedback ya kuendelea kwa uchunguzi hakuna au upo haueleweki....... Ingawaje mambo yanabadilika, ya sasa si ya zamani......Na hizo sheria zingesimamiwa vizuri wasingemgusa
Muosha huoshwa!!alihama chadema kwa dharau akaenda ccm akapewa ubalozi,sasa hvi wanamgeuka!karma ipo kaziniWakuu