imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sasa mnahangaika nae wanini?!Maisha yamempiga huyu jamaa, yuko hoi kabisa kimwili na kiuchumi.
Inawezekana frustration za maisha ndizo zinamfanya anamangamanga kila mahali kama mtu aliyechanganyikiwa.
Hebu muone. He looks like an ancestors
View attachment 3198420