Pre GE2025 Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi saga zinanifanya nikumbuke kitabu Cha...

BETRAYAL IN THE CITY by fransis Imbuga..

There is one complicated question at the heart of the play.
What chance do the citizens of a country have if the most powerful people in government are monsters??

Kuna huyu wakuitwa mosese akiwa jelaaaa askari tells Mosese in the jail ‘’It doesn’t pay to have a hot mouth’’

Pia docta slaa anaweza kua ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na hii nchi nipende kunukuu huu usemi wa kizungu ‘’silence is the best ship home’’ meaning silence is the best way of evaluating or leaving the problem.

Ngoja tuendelee kusubiri Nini kitajiri kwa Docta slaa Ila hii saga imenikumbusha play ya BETRAYAL IN THE CITY Cha fransis Imbuga.
 
Hamna aliyefikishwa mahakamani kuhusiana na yanayosemwa kayafanya Abdul?
 
Hii ya kumweka mahabusu Dr Wilboard Slaa , Kwa kisa ambalo Lina dhamana , linaweza kuleta matokeo mabaya Kwenye uchaguzi Mkuu Kwa waliotenda isivyo
 
Duh, Kanisa linatoa laana badala ya baraka? Inashangaza sana. Mimi katika Ukatoliki sijawahi kusikia kama Kanisa inaweza kulaani mtu bali Baraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…