Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Hapa ndio unaona tofauti baina ya nchi zinazojua demokrasia na utawala bora, na wenzetu sie akina China na Waarabu. Mwekezaji kutoka nchi inayoheshimu utawala bora angeshajua hamna biashara endelevu hapa kwa kuona yanayoendelea nchini, la sivyo media na taasisi zao wenyewe kama sio umma wangeshamwajibisha
 
Huyu walimvua kwanza udiplamat??
 
Kama hali ni hii tutegemee Mhe. LISSU na Mbowe kukamatwa pia kabla ya Jumatano wiki hii.

Inaonekana walishaanza kupata uungwaji Mkono kutoka kwa Wananchi.
Lisu akahojiwe akili matope zikoje,Mbowe afafanue kuhusu utanganyika na Tanganyika na Samia mzanzibar kivipi yaani!?
 
Is Reign of terror back again?
 
Sasa mbona maoni na kazi ya tume ya haki jinai haithaminiwi?? Wametapanya bure fedha za walipa Kodi.
 
Hiyo demokrasia mnayojifanya mmeirudisha iko wapi?

Kuwanyima watu Uhuru wa kutoa maoni hiyo sio sawa kabisa
Kwahiyo demokrasia ni kutukana na kutishia kupindua serikali si ndio? Ukicheza mbwa unaingia nae msikitini. Mama shikilia hapo hapo
 
Twende tu , suku zaja mda ni mwalim mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…