Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Siasa za ovyo au nyie mshazoea kuwaburuza watu

Ova
 
Cha ajabu machawa wote ndio mnaounga mkono huu usheitwani.
 
Unavyozungumzia wingi kama vile kuna uungwaji mkono. Uko mwenyewe na machawa wenzio kutetea udhalimu na ushenzi unaofanywa na serikali dhidi ya raia.
 
Unavyozungumzia wingi kama vile kuna uungwaji mkono. Uko mwenyewe na machawa wenzio kutetea udhalimu na ushenzi unaofanywa na serikali dhidi ya raia.
Wanaotetea huu ujinga hawajui kuwa nao ni watuhumiwa tarajiwa?
 
Bongo bhana........
 
Dr. Slaa aache kupigania watu ambao hawajielewi.Akae chini ale maisha na mkewe..tumepata serikali tunayostahili,sisi ni wajinga na always tutapata viongozi wajinga kwasababu watatoka kwenye kundi letu hili hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…