Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

CCM inatafuta sababu za kuvuruga tena chaguzi za 2024 na 2025. Wanatambua kuwa mpeperusha bendera waliyekuwanaye endapo atashindanishwa na mwingine mwenye nguvu kutoka upinzani basi biashara itakwisha mapema sana.

Kwa sasa ni lazima tutegemee tena ufedhuli na udhalimu wao kama ilivyokuwa katika chafuzi za 2019 na 2020. Wamezoea vya kunyonga, vya kuchinja wataviwezea wapi! Wakina Wambura na Kingai wanaanza tena kutekeleza kazi zao chafu.
 
KIna FaizaFoxy wanagongesha glass muda huu.

Sasa anasakwa Tundu Lisu....

Mark my word
 
Wewe jamaa si kila siku unamnanga Magufuli kwa udictata wake au yeye icho kigezo Cha kulinda nchi hakitakiwi kutumika kwake?
 
Hakuna demokrasia wala uhuru wa kubwatuka mimatusi na kudhalilisha watu wengine .ni lazima sasa watu hawa waanze kukamatwa na kuswekwa ndani haraka sana
Nani kadhalilishwa? Ukitaka kugombana na mbongo dai chako aisee!!!😎
 
Kama ni kweli basi jeshi la polisi wamefanya jambo jema kwa usalama wake, haiwezekani mtu akautumia vibaya umaarufu wake kueneza propaganda na chuki dhidi ya serikali na kile asichokiamini yeye.
Serikali ya wahuni walioiba uchaguzi na rasilimali zetu lazima ipingwe na waadilifu wote
 
Sio tetesi tena ni kweli sikiliza sauti yake wakati akiendelea na mjadala kwenye clubhouse. Aliwakaribisha kiungwana hao mapolisi nyumbani kwake
 
Sio tetesi tena ni kweli sikiliza sauti yake wakati akiendelea na mjadala kwenye clubhouse. Aliwakaribisha kiungwana hao mapolisi nyumbani kwake
Huyu Mzee ana akili wasifikiri hajui anachofanya amewaambia Tanzania utapata shida sana kwa sababu haitopata misaada na wawekezaji hawatokuja labda Waarabu tu na wachina na Warusi lakini kutoka ulaya itakuwa shida Hebu jiulizeni Waarabu na wachina na Warusi wanatoa misaada kiasi gani??!Hata dawa za ukimwi hazitoki kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…