Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

N
A
Lilikuwa ni suala la muda tu,😀😀maana alifanya interviews kibao na alikuwa anapinga live na kuwachana live ,ila waarabu sio poa kwa wanayowafanyia mabeki 3 kule Saudi,wakija TP tutegemee watu kuzamishwa baharini
 
Na bado mtakamatwa sana ile style ya magufuli ndio kiboko yenu nyie hamuwezi kutuchelewesha wajinga wachache kwa chuki zenu za kishamba.
We matak kweli,Unazijua chuki za kishamba au unatanguliza ushoga mbele,hii nchi siyo yenu kwamba mtaamua kuiza na mkakaliwa kimya,jibuni maswali ya watanganyika upumbavu wa kukamata na kuteka watu haujawahi kuzuia watu kuongea.
Huyo mume wako Magufuli yuko wapi,alitukamata akatuachia na akafa,hakuna kitu kitazuia kuongea
Kenge wewe
 
Shida ya huyu mzee wakati Mbowe alikua anatuhumiwa aliongea sana, Sasa Kwa sababu na yy yamemkuta eb tusubirie mahakama itoe maamuzi kama kwel kahusika au hakuhusika
 
kwani hii nchi ilkuwa ni ya nyerere kumbe?
 
Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.

---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...


View attachment 2716213
Kutamka hawaogopi chochote ndio kosa la uhaini kwa sheria ipi?

Hata Biblia inatamka kwamba hautakiwa kuogopa wanaoua mwili ila yul anayeangamiza roho. Hata jeshini unatiwa hamasa kukabiliana na chochote wakati wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…