ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Maslahi gani mnayotaka??? Mlimpinga Dkt Magufuli, tena mnyamaze kabisamh
mhaini ni wewe na serikali ya ssem isiyojali masilahi ya wananchi wake na kuwajali waarabu,wazalendo watetezi wa rasilimali za nchi wanasekwa ndani ilikupisha rushwa
Embu toa mfano wa hizo ligha za matusi na uchochezi zilizotumika, embu ifike mahali watanganyika mjitambue sasa na kutoka kwenye fikra mgando na mawazo ya kishetani, kama serekali inakosea inamaana haipaswi kuelezwa acheni ujingaSafi sana ,acha Waendelee kukamatwa kwa kadri iwezekanavyo ,hawawezi wakaendelea kutoa malugha ya uchochezi na ubaguzi halafu wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua. Zoa wote tupia ndani kwa mahojiano ya kina ili waeleze ni demokrasia ya wapi hiyo ya kuwatukana , kuwadhalilisha na kuwavunjia heshima wengine. Hawawezi wakaachwa wachochee machafuko hapa nchini
yule muuaji achana na wafu tunazungumza na walio hai, naona maza naye anafuata nyayo zake machawa mnamjaza kichwaMaslahi gani mnayotaka??? Mlimpinga Dkt Magufuli, tena mnyamaze kabisa
Naam naam!Akaleta ukombozi [emoji3]
Ondoa neno ''anadaiwa'' Pili soma thread za mwanzoni kabla hujaposti thread mpya! Hii habari iko saa nyingi.Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.
View attachment 2716202
Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X
BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!
Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2716213
Kabla hujawa chawa ulikuwa unaishije.., vijana wengi wa kijani wana akili ndogo sana. Maana wao huamin kila anachosema bwana mkubwa kipo sahihi., tumieni akili zenu japo kwa 80% na si kama mtumiavyo sas only 20%.Maslahi gani mnayotaka??? Mlimpinga Dkt Magufuli, tena mnyamaze kabisa
Mmeshindwa kuutumia uhuru mliopewaKwaio Serikali imeshindwa kujibu kwa hoja wanaanza kuumiza wanao wakosoa sio.
Lissu tayari ana tiketi mkononi ya kwenda Brussels kupitia Doha .Who’s next? Lissu??
Kule kule wapi? Si ndo mnapopatakaTunarudi kule kule...
Endelea kuililia dunia.Kumkaribia KUPAMBAZUKA!!
Dunia itajua chanzo Cha kukamatwa kwao.
Bandari ni URITHI wetu, kuzidai kamwe Si uhaini ni UZALENDO!!
Ebu kajifunze kuandika kwanza na ujibu hoja we form four leaverHata wewe utadakwa tu na tumikwala twako twa mbuzi huyo.hakuna atakayebakia mitaani ikiwa ataendelea kuhamasisha vurugu hapa nchini ,wote ni lazima wazolewe kwa nguvu ili watii sheria zetu na siyo kufanya nchi kama klabu cha pombe cha kila mtu kuzungumza na kuropoka atakacho
Aisee, sasa itakuwaje? WAPINZANI acheni nchi ifanye maendeleo , nyie kila siku mnaendelea na mikutano isiyo na tija maana huu ni wakati wa kujenga nchi na siyo kutugawa, nakushaurini wapinzani , tujenge nchi yetu TANZANIA.Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.
View attachment 2716202
Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X
BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!
Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2716213
Hawezi kuifanya serikali chochote yule mmbulu. Na itakuwa mdude na mwabukusi wamemtaja ndio maana katiwa nguvuni.hap0 policccm wamegusa pabaya huyo mwamba huwa harudi nyuma na maneno yake ni makali kuliko radi
Na wewe jiandae lazima ukanyee debeMajizi ya rasilimali za umma yameachachamaa
That's arlet for Robert Amsterdam clientMuda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.
View attachment 2716202
Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X
BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!
Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2716213
Na hamu sana hako ka namba 1 kakamatweWho's next
1. Maria Sarungi
2. Martin Maranja Masse
3. Dr. Ananilea Nkya
4.Tundu Kisu
5 John Heche
6. Itaendelea