Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nahisi yale madai ya kupata taarifa kutoka watu wa TISS kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

Amandla...
Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.

Amandla...
kwani amefanya makosa gani?
kupata taarifa kutoka kwa mtu wa tiss ndiyo kosa kisheria?ni habari ngapi watu wanazipata kutoka kwa wafanyakazi wa tiss?
 
Back
Top Bottom