Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
sidhani kama ana karama ya kufanya hivyo! Lijitu linaropka kama Lisu. Lisu amekuwa mjanja kidogo....anamtaja Abdul na mama yake abdul. There are so many Abduls as wellas many mama abduls'
Kweli kabisa. Lissu na wenzake hapa wana choice tatu:
1. Kuanzisha mshikemshike mpaka aachiwe.
2. Kuanza mazungumzo ya kumuombea msamaha.
3. Wanaweza kumuomba Mbowe amuombee msamaha.

Amandla...
 
kwani amefanya makosa gani?
kupata taarifa kutoka kwa mtu wa tiss ndiyo kosa kisheria?ni habari ngapi watu wanazipata kutoka kwa wafanyakazi wa tiss?
Kosa sio kupata taarifa. Kosa lake ni kuziweka hadharani na kusema wazi kuwa amepewa na mtu wa TISS. Angezipata na kuwapa wenzake kwa siri haya yasingemkuta.

Amandla...
 
mshike mshike mtakutana na "vilema" vya polisi. nani yuko tayari kupigwa risasi afe wenzake wanasonga mbele kwenye risasi? Tanzania? Let us wait and see
Si ndio njia mbadala wanayosema watanzania wanaitaka? Watuonyeshe mfano kwa kuita na kufanya maandamano yakiongozwa na Lissu, Heche, watoto wao na wengine halafu tuone muitikio ya watu pale watakapoambiwa kuwa Tanpol wameyakataza kwa sababu za kiintelejisia.

Amandla...
 
mshike mshike mtakutana na "vilema" vya polisi. nani yuko tayari kupigwa risasi afe wenzake wanasonga mbele kwenye risasi? Tanzania? Let us wait and see
mshike mshike mtakutana na "vilema" vya polisi. nani yuko tayari kupigwa risasi afe wenzake wanasonga mbele kwenye risasi? Tanzania? Let us wait and see
watu wa anc kule Afrika Kusini wangekuwa kama na hizi akili zako mpaka leo wangekuwa bado wanatawaliwa na makaburu katika nyanja zote kabisa za maisha yao. watu wa anc walikuwa wanatekwa na kuuawa kama hivi wanavyofanyiwa Chadema
 
Back
Top Bottom