Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Mzee mpaka atoe zile Document naona.Mana alisema ametumia documents zakuonyesha jasha yakuitoa ccm madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tusubiri mahakana imtie hatiani Dr Slaa akili kubwa Kwa kosa la kukurupuka 🤣Kukurupuka Hakuitaji Umri Mkuu!
Hata wazee Kama Sisi hukurupuka pia..
Kikubwa Ni Hekima
Anaendeshwa na watoto huko Club house usiku na mchana, Mtu mzima kama yule alipaswa kuwa na marafiki wa rika lake wakizungumza vitu vya maana, sasa yeye kutwa yuko kwenye mic club house, zinamsaidia nini hizo club house umri huo, au ndio ma influencer wenyewe hao?We kwa akili yako unadhani Slaa ni wa kuendeshwa na vijana? Huyu mtu Slaa ni mtu mwenye akili sana kumbuka
alimuongelea kuhusu nini?Itakuwa alivyomuongelea mama
amesema uongo gani? mbona hawajautaja...let us know pleasePanawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Hahahaaa umenikumbusha kijinga cha motoKijinga kimeshika moto.
alisemajeKiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Ukiona hivo ujue ana ajendaAnaendeshwa na watoto huko Club house usiku na mchana, Mtu mzima kama yule alipaswa kuwa na marafiki wa rika lake wakizungumza vitu vya maana, sasa yeye kutwa yuko kwenye mic club house, zinamsaidia nini hizo club house umri huo, au ndio ma influencer wenyewe hao?
1. Ana mtu wa usalama wa taifa ambae huwa anampa taarifa kwa muda mrefu.alisemaje
Very truePanawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
😂Anaropoka mnoAisee hiii nchi sasa huyo mzee kafanya Kosa Gani hadi wakamtoe kucha hao jamaa
Kwakweli kajitakiaKiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Wilbroad Slaa ana doctrate halali ya kusomea darasani,😂Anaropoka mno
Mdomo umemponza
Kwahiyo mbowe ndo alimuwekea maneno mdomoni ,au ndo alimtuma aongee Yale aliyoyaongea?Mbowe ndiyo kasuka hiyo mipango yote
Haijalishi kwani doctorate ndo nn?Wilbroad Slaa ana doctrate halali ya kusomea darasani,
Sahau kuhusu kuropoka Kwa mtu aina hi
Basi tusubiri Dr Slaa atiwe hatiani Kwa kuropoka na afungwe gerezani!Haijalishi kwani doctorate ndo nn?
Ameropoka,kaongea bila tahadhari ndo madahara yake haya
SASA WACHA YAMPATE....NA AKITAKIWA KUMTAJA HUYO MTU WA TISS ITAKUWAJE? AKIKATAA KUMTAJA ATAFANYWA NINI? VERY COMPLICATED!1. Ana mtu wa usalama wa taifa ambae huwa anampa taarifa kwa muda mrefu.
2. Huyo mtu wake alimwambia kuwa Mbowe na Samia waliongea kwenye simu.
3. Baada ya maongezi yao wakapewa maelekezo na mkubwa wao ambae aliwaambia yametoka kwa Samia.
4. Maelekezo hayo yaliwataka watayarishe bajeti ya kuwawezesha kuzunguka nchi nzima kuwashawishi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema kumpigia kura Mbowe.
5.Kwa vile ushawishi huo unahusu pia utoaji wa pesa, afisa huyo akasema kuwa itakuwa rushwa.
Matatizo katika statement yake:
1. Afisa wa Usalama yeyote hatakiwi kutoa mambo ya TISS kwa watu wasiohusika bila kibali cha kiongozi wake.
2. Kuna mtu ana eavedrop mazungumzo ya Rais ama kwa kuwa yuko physically karibu nae au kuingilia mazungumzo yake ya simu. Hili ni kosa kubwa kwa sababu Rais wa nchi anaongea mengi na watu tofauti ndani na nje ya nchi. Mengine ni top secret, mengine ya kijamii. Kama kuna mtu huwa anayasikiliza, hiyo ni hatari sana.
3. Serikali inaingilia uchaguzi wa CHADEMA kwa kutoa hongo. Hili nalo ni kosa ingawa mara nyingi huwa linapuuziwa kwa sababu katika joto la uchaguzi mengi yatasemwa. Kibaya hapa ni ile kusema ni taarifa kutoka Afisa wa Usalama.
Mimi naona shida hapa ni kuwaingiza watu wa TISS. Angesema tu kuwa Rais anaingilia uchaguzi isingekuwa shida sana maana wengi tu wanasema hivyo. Mimi nadhani ni hype, Dr. anataka tu aaminike kwa kuonekana kuwa ana connection za juu.
Anataka kurudisha heshima aliyokuwa nayo wakati wa Mwembe Yanga. Ama kajitungia au kuna mtu anamchezea tu kwa kujifanya ni TISS. Wamuachie tu baada ya kumtahadharisha.
Amandla...
Mimi ndio maana nilishangaa kwa nini aliwaingiza watu wa TISS! Mtu kama yeye alitakiwa kuwa mwangalifu. Kwa kweli inasikitisha.SASA WACHA YAMPATE....NA AKITAKIWA KUMTAJA HUYO MTU WA TISS ITAKUWAJE? AKIKATAA KUMTAJA ATAFANYWA NINI? VERY COMPLICATED!
My take; atafungwa, halafu watakuja watu wa dini wamuombee msamaha.......atakataa?
sidhani kama ana karama ya kufanya hivyo! Lijitu linaropka kama Lisu. Lisu amekuwa mjanja kidogo....anamtaja Abdul na mama yake abdul. There are so many Abduls as well as so many mama abduls'Mimi ndio maana nilishangaa kwa nini aliwaingiza watu wa TISS! Mtu kama yeye alitakiwa kuwa mwangalifu. Kwa kweli inasikitisha.
Inabidi afanye public apology kama alivyofanya mwenzake Msigwa. Hata kama itambidi kusema amefanya uchunguzi na amegundua kuwa mtu aliyempa hizo taarifa hakuwa mtu wa TISS na ni mtu ambae hamjui.
Amandla...