Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakachape vizuri haka kazee kanafki,kafitini na kasaliti saana.
Kenyewe kalisaliti kakapewa ubalozi na mwendazake Sasa kanawaza kilamtu ananjaa ya kuhongwahongwa kama "Malaya Malaya hivi"...in Nyerere voice
 
Dr Slaa amekamatwa usiku huu.

Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.

Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza kwa njia ya simu Dkt. Slaa ameeleza kuwa, polisi wamefika nyumbani kwake na kumchukua na kuelekea naye kituo cha polisi Mbweni.

- Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...

View attachment 3197059
Inasikitisha sana kuona watu wanafagilia sana kutekana karne hii kisa tu hawataki Tundu Lisu awe kiongozi,ccm wana shida sana.
 
Kitendo Cha Dkt. Slaa, kukamatwa Leo Ijumaa, ni timing nzuri sasa atapata dhamana Jumatatu
Dk Slaa kushitakiwa, kunyimwa dhamana
Ijumaa, Januari 10, 2025
 
Back
Top Bottom