ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukweli gani?Wanapowaambia ukweli mnaowaabudu unaelewa tu kuwa wao hawaabudu binadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli gani?Wanapowaambia ukweli mnaowaabudu unaelewa tu kuwa wao hawaabudu binadamu
Mpaka akaamua kusema wazi alijua kitakachofuata, itakuwa ni move aliyotarajia...sasa kumkamata si ndio mnasaidia kupata kiki?
Hivi hushangai Maira anakaa nje lakini akitaka kutumia watu anawaita Nairobi wanapigwa train wanapewa na lunch wanarud hapa kufanya mambo anayoyataka?Maria Sarungi kamuingiza chaka huyu Slaa, mwache akanyee debe kidogo akili imkae vizuri😎😎
Wacha kumsingizia Mbowe kwa uzushi wa Slaa.Unaweza kuwa haumuungi mkono Mbowe lakini kumhusisha na kukamatwa kwa Slaa ni uzushi na ujinga.Mbowe ndiye sababu ya kukamatwa kwa Dr. Slaa.
Babu ana zeeka vibaya,Dr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza kwa njia ya simu Dkt. Slaa ameeleza kuwa, polisi wamefika nyumbani kwake na kumchukua na kuelekea naye kituo cha polisi Mbweni.
- Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
View attachment 3197059
Wakati anamuita Mbowe gaid ulikuwa ushaenda Marekani?Wewe ni aina mojawapo ya wapumbavu walioko Tanzania!
Kwa kweli Babu Slaa anapaswa kupumzishwa kidogo Segerea hadi baada ya Uchaguzi wa CHADEMA ndo atolewe. Ameleta tahariki iliyo ya kifuani bila uthibitisho hasa pale anapohusisha chombo cheti pendwa cha USALAMA.Babu ana zeeka vibaya,
Atie ushahidi wa hizo pesa alizo pew Mbowe. Otherwise aende aka pumzike Segerea.
Aliwa acha Chadema kwenye mataa kwa kuhongwa na Jpm lakini kila muda huiongelea Chadema, ame sahau huko nini?
Unakujulika kuwa wewe ni zezeta la ccm jukwaani humuWewe ni zuzu. Yaani kila mtu anayekuwa ana mawazo tofauti na wewe unamuita ccm?😁
Huo huo uliompelekea muendelee usiku kumkamata dr slaaUkweli gani?
Uzushi haijawahi kuwa ukweli,amepelekwa mikono salama akathibitishe.Huo huo uliompelekea muendelee usiku kumkamata dr slaa
Ili kulinda mtoa RushwaaaAfunguliwe KESI ya uhaini
Ally kibao mlipomshusha kwenye bus ilikua mikono gani. Alafu mkamuuwa. Dhambi ya kutaka kumuuwa Lisu pale dodoma itakutesa sana nafasi yakoTangu asubuhi TAL alivyosikia Slaa Yuko mikono salama, amepotea mitandaoni😂
Raia wa wapi? Labda wa JF maana sisi tupo huku nanjilinji tunauza mahindi kwa amani kabisa..wachochezi washughulikiweWamekosea. Waliotoa amri wamefanya kwa Jazba. Walitakuwa watulie kidogo hali itulie. Hivyo walivyofanya raia wengi wataona ni kama anazibwa mdomo hata kama yalikuwa propaganda ya Dr. Slaa
Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Mliwahi kumpeleke Mirembe,kumchunguzaDr. Slaa siyo mjinga kufanya vile.
Anajua anafanya nini na siyo mara ya kwanza kusema hivyo.