Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Attachments

  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    10.9 KB · Views: 1
Hizi ni siasa tu za kutupiana maneno, Dr Samia ni Mwenyekiti wa CCM akishutumiwa kuingilia mambo ya Chadema wala sio jambo la ajabu kwenye minyukano ya kisiasa.
Huyo ni Rais wa nchi. Kuna tofauti kubwa kati ya kusema Rais anahonga watu na " nimeambiwa na Afisa wa Usalama wa Taifa kuwa alimsikia Rais akipanga mipango ya kutoa hongo na kweli alitoa pesa za kufanya hivyo. Hilo sio jambo la kawaida.

Amandla...
 
Slaa hajawahi sema uongo miaka yake yote tokea kwa Mkapa hadi Sasahivi hata hakina Lissu na Mbowe walikuwa wakitembelea nyota ya Slaa,waga haropoki huyu Mzee ukiona ametamka kitu jua ananyaraka tiyari, aliwahi kumtaja Mkapa kwenye rist ya mafisadi wakati hakiwa rais.
Slaa alisema katika nchi za magharibi hairuhusiwi kufanya mambo ya siasa baada ya uchaguzi.

Amandla...
 
Katukanaje na hiyo taharuki imetokea wapi?
Unaposema umepata habari kutoka TISS ni kuharibu taswira ya TISS. Huwezi kufanya hivyo kwenye Nchi yeyote yenye utawala wa sheria. Athibitishe kauli kwani yeye sio Mwandishi wa habari kwa hiyo halindwi na sheria ya kutomtaja source wa habari yake. Hali hii ikiendelea itafanya watu wakose imani na kuanza kujiuliza kuhusu uweledi wa chombo hicho muhimu.
Huwezi kudai tu bila uthibitisho. Kwa hiyo burden ya proof kwa madai yake ipo kwake.
 
Hayo maelezo yako yameshathibitisha kuwa Slaa kasema Uongo? Imekuwaje umefikia hitimisho kuwa Dr. Slaa anatoa shutuma bila ya vithibitisho?
 
Kwa sababu anaongea as a sweeping statement.Kwamba huyo afisa usalama alimsikia Rais akizungumzia kuhusu hongo.Hivyo kama hasemi uongo athibitishe sasa.
Ndiyo kakamatwa... Na kuthibitisha si mahakamani? Jee Rais anaweza kwenda mahakamani kuthibitisha kwamba hakusema/kupanga anayosema Slaa?
 
Ndiyo kakamatwa... Na kuthibitisha si mahakamani? Jee Rais anaweza kwenda mahakamani kuthibitisha kwamba hakusema/kupanga anayosema Slaa?
Si amtaje huyo aliyemwambia (ofisa usalama)ili nae athibitishe kwamba alimwambia Slaa.
Upelelezi ndio utaamua hatua zinazofuata sio assumption.
 
Back
Top Bottom