Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe ndiye sababu ya kukamatwa kwa Dr. Slaa.
Wacha kumsingizia Mbowe kwa uzushi wa Slaa.Unaweza kuwa haumuungi mkono Mbowe lakini kumhusisha na kukamatwa kwa Slaa ni uzushi na ujinga.
 
Dr Slaa amekamatwa usiku huu.

Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.

Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza kwa njia ya simu Dkt. Slaa ameeleza kuwa, polisi wamefika nyumbani kwake na kumchukua na kuelekea naye kituo cha polisi Mbweni.

- Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...

View attachment 3197059
Babu ana zeeka vibaya,
Atie ushahidi wa hizo pesa alizo pew Mbowe. Otherwise aende aka pumzike Segerea.
Aliwa acha Chadema kwenye mataa kwa kuhongwa na Jpm lakini kila muda huiongelea Chadema, ame sahau huko nini?
 
Babu ana zeeka vibaya,
Atie ushahidi wa hizo pesa alizo pew Mbowe. Otherwise aende aka pumzike Segerea.
Aliwa acha Chadema kwenye mataa kwa kuhongwa na Jpm lakini kila muda huiongelea Chadema, ame sahau huko nini?
Kwa kweli Babu Slaa anapaswa kupumzishwa kidogo Segerea hadi baada ya Uchaguzi wa CHADEMA ndo atolewe. Ameleta tahariki iliyo ya kifuani bila uthibitisho hasa pale anapohusisha chombo cheti pendwa cha USALAMA.
 
Mzee Ali kibao mlipoms
Tangu asubuhi TAL alivyosikia Slaa Yuko mikono salama, amepotea mitandaoni😂
Ally kibao mlipomshusha kwenye bus ilikua mikono gani. Alafu mkamuuwa. Dhambi ya kutaka kumuuwa Lisu pale dodoma itakutesa sana nafasi yako
 
Wamekosea. Waliotoa amri wamefanya kwa Jazba. Walitakuwa watulie kidogo hali itulie. Hivyo walivyofanya raia wengi wataona ni kama anazibwa mdomo hata kama yalikuwa propaganda ya Dr. Slaa
Raia wa wapi? Labda wa JF maana sisi tupo huku nanjilinji tunauza mahindi kwa amani kabisa..wachochezi washughulikiwe
 
Dr. Slaa siyo mjinga kufanya vile.
Anajua anafanya nini na siyo mara ya kwanza kusema hivyo.
Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.

Amandla...
 
Dr. Slaa siyo mjinga kufanya vile.
Anajua anafanya nini na siyo mara ya kwanza kusema hivyo.
Mliwahi kumpeleke Mirembe,kumchunguza

TAARIFA KWA UMMA.

MIREMBE HOSPITAL DODOMA !!!

!Habari marafiki: Taasisi ya Tiba kwa Ushauri ya Hospital ya Mirembe Dodoma inasema : -

Kiwango ambacho watu hufa ghafla kinazidi kutisha. Wengi wetu tunajua kuwa tunapitia kipindi cha kufadhaika, kuchanganyikiwa, hofu, mfadhaiko, msongo wa Mawazo, nk.

Sababu hizi zote huongeza hatari ya shinikizo la damu, ambayo pia husababisha kushindwa kwa moyo au kiharusi, na bila shaka husababisha kifo cha ghafla, ambacho sasa ni cha kawaida.

Tafadhali, epuka kukasirishwa kirahisi na watoto wako, marafiki zako, wafanyakazi wenzako, wakubwa wako, wasaidizi wako, wapenzi, waume na wake.

Epuka kujibu kwa ukali. Jitenge na usumbufu. Epuka kuwaza kupita kiasi.

Wakati huna pesa au chakula ndani ya nyumba, kaa kwa kutulia na kujipanga.

Ikiwa wakati fulani hukuhudhuria arusi ya jamaa yako kwa sababu ya kukosa zawadi ambayo huwezi kutoa, matukio mengine.
usikope kununua zawadi.

Usikope pesa kusaidia watu. Saidia unapoweza na usivunje kibubu ili kuwafurahisha wengine. Watapata kila kitu wakati wakihitaji kitu cha kuishi, hata bila wewe.

Epuka kurushiana maneno na watu nyumbani, sokoni, ofisini, barabarani n.k.

Daima angalia shinikizo la damu yako. Chukua dawa yako endapo unaumwa. Fuata maagizo ya madaktari na fanya mazoezi mara kwa mara.

Wasiliana na daktari wako mara moja ikiwa unaona mabadiliko yoyote katika mwili wako hasa katika eneo la kifua.

Ishi kwa amani.
Kamwe usipigane na mtu yeyote.

Usiwe na wasiwasi juu ya kitu chochote, lakini OMBA MUNGU kila wakati.

Afya yako ni ya thamani kuliko vitu vyote duniani.
Jihadharini na uchokozi uliohamishwa.

Baki hai kwa ajili yako mwenyewe.

Baki hai kwa ajili ya familia yako.

Baki hai kwa ajili ya kesho yako tukufu.

Baki hai kwa ajili yangu, labda utanisaidia kesho.

Tuna nafasi moja tu ya kuishi.

Usife kabla ya wakati wako.

Awamu hii itaisha.

Kila kitu kitakuwa sawa ...

Mungu atubariki sote!

Ujumbe huu ni muhimu. Tafadhali, usambaze kwenye majukwaa yote na kwa rafiki zako wote, huwezi kujua ni nani atakayeokolewa nayo.

Tupendane tukiwa hai na wenye afya njema.

MWAKA WA UCHAGUZI HUU,2025 TUPIGE KURA KWA WATU SAHIHI NA VIONGOZI STAHIKI TUSIANGALIE MTU MACHONI TUMUANGALIE KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE
 
Back
Top Bottom