Tunajuaje nani kamuitia polisi, inaweza kuwa Mbowe/CDM ndio wamemshitaki kuwatungia uongo.
Ndio akathibitishe sasa hao wajumbe wa Nyasa wanaotaka rushwa, hayo maongezi ya bi-tozo na Mbowe kwenye simu, loud enough wasaidizi wake luluki wasikie maana inaonekana uwa wanarundikana mpaka ofisini kwake kiasi kwamba ni rahisi kutoa siri za maongezi yake bila ya kujulikana.
Uongo wa Dr Slaa saa zingine yaani anaona watu watoto wadogo kweli.
Kama Mbowe/CDM wameshitaki sawa, lakini kama serikali imemkamata hii sasa ni double standard; kwanini Slaa akamatwe halafu Mwamakula aachwe maana wote uongo wao unafanana tu.