Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
--Ahaojiwe, akanywe kuhusu kuzungumza mambo ambayo hayana ushahidi, kwa aliuoyasema anaweza kupandishwa mahakamani aidha aachiwe tu, Dk slaa amevurugika akili by physical appearance, sisi wataalamu wa saikolojia tunaona hivyo!, karata nzuri awekwe sawa apewe ukuu wa wilaya fulani (karatu)
 
Dr Slaa amekamatwa usiku huu.

Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.

Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
Huyu jamaa huwa simuamini hata kidogo, mtu ambaye alitoka CCM akaingia CHADEMA then akarudi kwenye mfumo huku akiishambulia CHADEMA. That shit of a person can't be trusted, anaweza akawa ameanzisha drama labda apewe tena ulaji serikalini au apokelewe na kuaminiwa na watu wa CHADEMA. He is playing the game he knows best, a political prostitute.
 
Chukua Tano mkuu.
 
He is an asshole..
 
kwani amefanya makosa gani?
kupata taarifa kutoka kwa mtu wa tiss ndiyo kosa kisheria?ni habari ngapi watu wanazipata kutoka kwa wafanyakazi wa tiss? Mfanyakazi wanatakiwa kimasharti kutoa Siri ?

Ataachiwa tu maana Tundu yupo atafuatilia
Wanaweza kuwakamata wote, na uchaguzi ukaishia hapo kwa Lissu.
 
--Ahaojiwe, akanywe kuhusu kuzungumza mambo ambayo hayana ushahidi, kwa aliuoyasema anaweza kupandishwa mahakamani aidha aachiwe tu, Dk slaa amevurugika akili by physical appearance, sisi wataalamu wa saikolojia tunaona hivyo!, karata nzuri awekwe sawa apewe ukuu wa wilaya fulani (karatu)
Ukuu wa Wilaya seventies
 
Hao wameongia kwenye mfumo wa Dr. Slaa, ni dhahiri anajua kuwa kwa maneno yake lazima jamaa wangemrukia fasta tu,swali ni jee ana agano gani na hao wasiri wake ndani ya TISS? Stay tuned kuna kitu kinasukwa. Chadema kwa moto lakini CCM nako kwa moto zaidi.
 
Naona watekaji wanaendelea kumharibia mama!

Mimi naamini hakuna Mgombea was urais anaeteka watu badala ya kujipendekeza Kwa watu!!

Mitano ya kwanza samiah anafanya Ili achaguliwe Tena!Sasa utekaji unamsaidiaje kupata kura!!?

Halafu Dr. Silaa kijasusi ni mtu mkubwa sana!!?ni mtu anaetokea kanisa kubwa na siri zote anazotoa zinatokeo huko kabla hajasema !Sasa ni rasmi watekaji wanataka kanisa kubwa liichukie serikali ya samiah na kutoiunga mkono!

Nadhani!
 
Panawaka,

Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?

Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.

----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.

Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..

Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.

Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Fanya siasa zako, unazoona kwako ndiyo za kistaarabu, usiwapangie wengine namna ya kufanya siasa zao.
Unaleta utoto wa kiakili kutaka watu wafanane kama mazombi? Unaleta habari za "hakuna ambacho hakitavuja" kipi hicho hakitavuja ambacho wewe ndiyo unajua amekamatiwa wakati inaeleweka dhahiri alichokamatiwa ni alichoongea in public?
Shabikia utakacho, furahia. Huna uwezo wa kiakili kushauri wengine.
 
Back
Top Bottom