Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Kweli kabisa. Lissu na wenzake hapa wana choice tatu:sidhani kama ana karama ya kufanya hivyo! Lijitu linaropka kama Lisu. Lisu amekuwa mjanja kidogo....anamtaja Abdul na mama yake abdul. There are so many Abduls as wellas many mama abduls'
Hata sijui. Kwa vile ameishafikishwa Mahakamani anaweza kuwa rumande Segerea au Ukonga.kwahiyo sasa hivi slaa yuko wapi? Mbwewe?
mshike mshike mtakutana na "vilema" vya polisi. nani yuko tayari kupigwa risasi afe wenzake wanasonga mbele kwenye risasi? Tanzania? Let us wait and seeKuanzisha mshikemshike mpaka aachiwe
Kosa sio kupata taarifa. Kosa lake ni kuziweka hadharani na kusema wazi kuwa amepewa na mtu wa TISS. Angezipata na kuwapa wenzake kwa siri haya yasingemkuta.kwani amefanya makosa gani?
kupata taarifa kutoka kwa mtu wa tiss ndiyo kosa kisheria?ni habari ngapi watu wanazipata kutoka kwa wafanyakazi wa tiss?
Si ndio njia mbadala wanayosema watanzania wanaitaka? Watuonyeshe mfano kwa kuita na kufanya maandamano yakiongozwa na Lissu, Heche, watoto wao na wengine halafu tuone muitikio ya watu pale watakapoambiwa kuwa Tanpol wameyakataza kwa sababu za kiintelejisia.mshike mshike mtakutana na "vilema" vya polisi. nani yuko tayari kupigwa risasi afe wenzake wanasonga mbele kwenye risasi? Tanzania? Let us wait and see
😀😃😃😂Anaropoka mno
Mdomo umemponza
mshike mshike mtakutana na "vilema" vya polisi. nani yuko tayari kupigwa risasi afe wenzake wanasonga mbele kwenye risasi? Tanzania? Let us wait and see
watu wa anc kule Afrika Kusini wangekuwa kama na hizi akili zako mpaka leo wangekuwa bado wanatawaliwa na makaburu katika nyanja zote kabisa za maisha yao. watu wa anc walikuwa wanatekwa na kuuawa kama hivi wanavyofanyiwa Chademamshike mshike mtakutana na "vilema" vya polisi. nani yuko tayari kupigwa risasi afe wenzake wanasonga mbele kwenye risasi? Tanzania? Let us wait and see