Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ngoja nimshauri apite Ikolo akamsalimie Mwakyembeimebidi tumsamehe
Raisi mtarajiwa ni Tundu Lissu, ndiye anelayetakiwa na Watanganyika wote ili arejeshe rasilimali zilizouzwa bila huruma, Dr.Slaa anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ni mwanadiplomasia mzuri tu.Nguvu ya umma inakuhitaji Dr. Slaa uwe Rais wetu, tutachangishana tukuchukulie form!
# Dr slaa for president 2025.
Je unafikiri mtu mwenye hulka ya kuropoka ropoka anaweza kuwa Rais?Raisi mtarajiwa ni Tundu Lissu, ndiye anelayetakiwa na Watanganyika wote ili arejeshe rasilimali zilizouzwa bila huruma, Dr.Slaa anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ni mwanadiplomasia mzuri tu.
Ile Propaganda ya Ebola imeshtukiwa na Wananchi na hii ya Slaa imeshtukiwa tena na Slaa mwenyewe sasa mtakuja na Proaganda gani tena?πππJe unafikiri mtu mwenye hulka ya kuropoka ropoka anaweza kuwa Rais?
mtu mwenye laana ya tamaa na usaliti wa kanisa, vyama vya siasa, familia na uporaji wa wake za watu anaweza kua kiongozi kweli?Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi soma hapa
View attachment 3281756View attachment 3281757
Dr. Slaa for president her upstairs are so well for presidential post, #2025-2030, don't do a mistake for choosing madman.Ile Propaganda ya Ebola imeshtukiwa na Wananchi na hii ya Slaa imeshtukiwa tena na Slaa mwenyewe sasa mtakuja na Proaganda gani tena?πππ
Dr. Slaa for president his upstairs are so good for presidential post, #2025-2030, don't do a mistake for choosing madman. Your mistake could cost you heavily!Ile Propaganda ya Ebola imeshtukiwa na Wananchi na hii ya Slaa imeshtukiwa tena na Slaa mwenyewe sasa mtakuja na Proaganda gani tena?πππ
Kwahiyo Makalla kawaambia muanze Propaganda kwa kiinglish?!Dr. Slaa for president his upstairs are so good for presidential post, #2025-2030, don't do a mistake for choosing madman. Your mistake could cost you heavily!
Hata lissu alisema hivyo hivyo kwamba hagombei mwenyekitiIle Propaganda ya Ebola imeshtukiwa na Wananchi na hii ya Slaa imeshtukiwa tena na Slaa mwenyewe sasa mtakuja na Proaganda gani tena?πππ
Mkuu Talapalalataalatakapa tulia uandike vizuri..mtu mwenye laana ya tamaa na usaliti wa kanisa, vyama vya siasa, familia na uporaji wa wake za watu anaweza kua kiongozi kweli?
si atapora wake za waTanzani wote sasa?
hata wewe ukitazama historia chafu ya hicho kizee, unaweza kusimama mbey za watu kuwashawishi wamchague na uchafu wake wote huo wa kijamii eti awe kiongozi wa kitaifa?
au unaweza kujivunia kweli kwamba hicho kizee ndio role model wako katika maisha na siasa, na kwamba chadema imelamba dume kumrejesha chamani?
Wewe pia ulisema hutaposti humu JF mpaka hapo Ramazani itakapoisha?!Hata lissu alisema hivyo hivyo kwamba hagombei mwenyekiti
Acha ujinga.mtu mwenye laana ya tamaa na usaliti wa kanisa, vyama vya siasa, familia na uporaji wa wake za watu anaweza kua kiongozi kweli?
si atapora wake za waTanzani wote sasa?
hata wewe ukitazama historia chafu ya hicho kizee, unaweza kusimama mbey za watu kuwashawishi wamchague na uchafu wake wote huo wa kijamii eti awe kiongozi wa kitaifa?
au unaweza kujivunia kweli kwamba hicho kizee ndio role model wako katika maisha na siasa, na kwamba chadema imelamba dume kumrejesha chamani?