kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Chadema haina watu wasomi na strong kianze kujijenga taratibu wasiwe na big expectations
Dk. Slaa is a failure Tanzanian politician.Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi soma hapa
View attachment 3281756View attachment 3281757
Alilikana kanisaAkihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi soma hapa
View attachment 3281756View attachment 3281757
Mtayamaliza nyinyi!Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi soma hapa
View attachment 3281756View attachment 3281757
Nguvu ya umma inakuhitaji Dr. Slaa uwe Rais wetu, tutachangishana tukuchukulie form!
# Dr slaa for president 2025.
°°Lissu ni mropokaji hatauweza urais, urais unahitaji akili za utulivu na hekima za hali ya juu Mt
Mtu pekee anapaswa kuwa rais kwa wakati huu ni Tundu Lissu pekee.Nguvu ya umma inakuhitaji Dr. Slaa uwe Rais wetu, tutachangishana tukuchukulie form!
# Dr slaa for president 2025.
°°Lissu ni mropokaji hatauweza urais, urais unahitaji akili za utulivu na hekima za hali ya juu kabisa.
Ndiyo makosa yasiyohitajika kujirudia katika taifa letu.Mbona Magufuli alikuwa?
but si sote ni mashuhuda kwamba kizee hicho chenye laana kimeonyesha wazi kisivyopenda kua muaminifu gentleman?🐒Mzee wako mwendazake alimwamini hata akampa ubalozi nchi zenye furaha kubwa Duniani,wewe ni nani hadi utushawishi!Hapana,no reform, no Elections! Full stop.
ni role model wako sio katika maisha na siasa?Namkubali sana huyu mzee.
Mpeni na Ujumbe wa kamati kuu! akitoka Ikolo aje na huku kwetu Kajunjumele.Ngoja nimshauri apite Ikolo akamsalimie Mwakyembe
Jiwe alipewa uraisi kwa mgongo wa chuma na anaropoka. Lissu Katiba anaijua na sheria anazijua anaifuata Katiba na sio kama ccm wanaotumia matakwa yao kisa wana police.Nguvu ya umma inakuhitaji Dr. Slaa uwe Rais wetu, tutachangishana tukuchukulie form!
# Dr slaa for president 2025.
°°Lissu ni mropokaji hatauweza urais, urais unahitaji akili za utulivu na hekima za hali ya juu kabisa.
Fiki ukamanya une ni gwa kumyenu Nkajunjumele?Mpeni na Ujumbe wa kamati kuu! akitoka Ikolo aje na huku kwetu Kajunjumele.
Papungufu yake hayanihusu. Nachukua mazuri yake.ni role model wako sio katika maisha na siasa?
anza sasa kua na tamaa na kupora wake za watu,
Lakini pia jitahidi kusaliti dini yako, mke na watoto wako, chama chako cha siasa n.k na kwakweli kwakufanya hivyo utakua umedhihirisha unavyomkubali na kumemuenzi vyema sana huyo mzee mwenye uchu wa kila kitu,
hanaga jambo la maana 🐒
Hivi majuzi ulikuwa umevimbiana shingo kwa maneno haya haya ukidai Lissu hawezi kuwa hata kushinda Uwenyekiti Chadema na sababu zako ni hizo hizo za kijinga!Je unafikiri mtu mwenye hulka ya kuropoka ropoka anaweza kuwa Rais?
hebu washirikishe kidogo na wadau wa JF ili walau nao wayachukue gentleman 🐒Papungufu yake hayanihusu. Nachukua mazuri yake.