technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kifo ni kifo sio uropokaji?Je unafikiri mtu mwenye hulka ya kuropoka ropoka anaweza kuwa Rais?
Kifo ni kifo sio uropokaji?Je unafikiri mtu mwenye hulka ya kuropoka ropoka anaweza kuwa Rais?
Kwa hiyo unaimani atashinda, na chadema mtaanza kula neema ya nchi ya asali na maziwa jinsi nmavyofikiri? 😇😇😇Hivi majuzi ulikuwa umevimbiana shingo kwa maneno haya haya ukidai Lissu hawezi kuwa hata kushinda Uwenyekiti Chadema na sababu zako ni hizo hizo za kijinga!
Halafu elewa kijani kwamba, Lissu kila aliposimama kushindania kitu, hajawahi kushindwa
Shika sana hilo
Wewe huwezi kuamini hiki kwa sababu ushindi wenu ni wa mezaniKwa hiyo unaimani atashinda, na chadema mtaanza kula neema ya nchi ya asali na maziwa jinsi nmavyofikiri? 😇😇😇