Lissu amenyoosha katiba ya chama , huyu ndo mwenyekitti wa chamaAkihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi soma hapa
View attachment 3281756View attachment 3281757
Kama Trump asiyekuwa na hata chembe ya presidential wisdom amekuwa Rais wa Marekani two times, none of these people is too bad to be president!Nguvu ya umma inakuhitaji Dr. Slaa uwe Rais wetu, tutachangishana tukuchukulie form!
# Dr slaa for president 2025.
°°Lissu ni mropokaji hatauweza urais, urais unahitaji akili za utulivu na hekima za hali ya juu kabisa.
Gentleman,Acha ujinga.
Nimecomment sijapostWewe pia ulisema hutaposti humu JF mpaka hapo Ramazani itakapoisha?!
hapa unachanganya mambo mkuu wangu, hata Lissu anafaa kuwa RaisNguvu ya umma inakuhitaji Dr. Slaa uwe Rais wetu, tutachangishana tukuchukulie form!
# Dr slaa for president 2025.
°°Lissu ni mropokaji hatauweza urais, urais unahitaji akili za utulivu na hekima za hali ya juu kabisa.
Gentleman,Mkuu Talapalalataalatakapa tulia uandike vizuri..
Tunakwenda shule kutoa ujinga vichwani, Leo hii mchina na degree yake anauza madafu, mtanzania ukimwambia aende veta madhali Ana degree anakuona umemkosea heshima, elimu ni ya kutoa ujinga na upumbavu vichwani hasa kutupa ujasiri chanya!hapa unachanganya mambo mkuu wangu, hata Lissu anafaa kuwa Rais
Kwa nchi zetu hizi ambazo bado tunabembeleza uchumi ili ukue, haiitaji kichwa cha lissu, kibovu ataivuruga mara moja iwe majuto mjukuu, #lissu hafai kwa post ya uraisKama Trump asiyekuwa na hata chembe ya presidential wisdom amekuwa Rais wa Marekani two times, none of these people is too bad to be president!
Gentleman,
acha mihemko,
eleza wadau kwama hicho kizee hata ndani ya chadema kinaweza kuaminiwa kwa kipi kwa historia mbovu vile aliyonayo?
Hiyo comment unaiandika halafu unailia futari au unai POST ili ije hapa jukwaani?!Nimecomment sijapost
mi hapa nilashaeenda VETA ujue. CHADEMA itakuwa na machaguo mengi kama ilivyo CCM, we huoni hii nguvu ya Lissu?Tunakwenda shule kutoa ujinga vichwani, Leo hii mchina na degree yake anauza madafu, mtanzania ukimwambia aende veta madhali Ana degree anakuona umemkosea heshima, elimu ni ya kutoa ujinga na upumbavu vichwani hasa kutupa ujasiri chanya!
🙏Ile Propaganda ya Ebola imeshtukiwa na Wananchi na hii ya Slaa imeshtukiwa tena na Slaa mwenyewe sasa mtakuja na Proaganda gani tena?😆😆😂
Katoka kijana wa miaka 84,Kaja kijana wa 76!Kijani hoyee.Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi soma hapa
View attachment 3281756View attachment 3281757
Yuko bize Dar!Ngoja nimshauri apite Ikolo akamsalimie Mwakyembe
Mzee wako mwendazake alimwamini hata akampa ubalozi nchi zenye furaha kubwa Duniani,wewe ni nani hadi utushawishi!Hapana,no reform, no Elections! Full stop.mtu mwenye laana ya tamaa na usaliti wa kanisa, vyama vya siasa, familia na uporaji wa wake za watu anaweza kua kiongozi kweli?
si atapora wake za waTanzani wote sasa?
hata wewe ukitazama historia chafu ya hicho kizee, unaweza kusimama mbey za watu kuwashawishi wamchague na uchafu wake wote huo wa kijamii eti awe kiongozi wa kitaifa?
au unaweza kujivunia kweli kwamba hicho kizee ndio role model wako katika maisha na siasa, na kwamba chadema imelamba dume kumrejesha chamani?![]()
Yote sawa,kupost,kucomment ni kiiinglishi!Nimecomment sijapost
Padri mzinifu hana msimamo hakuna wa kumuamini.Kala CHADEMA,kala CCM anakula tena CHADEMA baada ya hapo sijui atakula upande ganiAkihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi soma hapa
View attachment 3281756View attachment 3281757
Mbona Magufuli alikuwa?Je unafikiri mtu mwenye hulka ya kuropoka ropoka anaweza kuwa Rais?