Hivi majuzi ulikuwa umevimbiana shingo kwa maneno haya haya ukidai Lissu hawezi kuwa hata kushinda Uwenyekiti Chadema na sababu zako ni hizo hizo za kijinga!
Halafu elewa kijani kwamba, Lissu kila aliposimama kushindania kitu, hajawahi kushindwa
Shika sana hilo