Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

Mimi nakupinga kabisa kwa hoja pia Lucas Mwashambwa moja Dr Slaa ni kati ya wanasiasa wenye msimamo sana katika karne hii. Kuhusu upadri sijui vizuri ingawa kwa mjibu wa kanisa katoliki kuacha upadri siyo kosa ukifuata utaratibu. Alijiunga na ccm akatoka kwenda chadema hilo siyo geni Kwa wanasiasa . Tatu amekuwa mwanachadema katibu mkuu na kufanya upinzani uwe na nguvu kuliko wakati wowote Kwenye siasa za nchi hii ghafula wakamletea Lowasa Chadema asiyemkubali akaondoka kumfuata Magufuli akatulia. Nne anakuja Samia hajakubali siasa zake na kuanza kumkosoa unasema ni mnafiki. Ok wanafiki ninyi ila huyu mzee pamoja na Walioba ni tunu ya taifa hili.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa namba ya simu yako ya nini kuianika hapa?
 
Huyo slaa ananyea kila kambi anayopitia.

Mtu wa hovyo, mwongo, mnafik, asiye na maadili, kuwahi kutokea Tanzania hii.
Mmemtumia mzee wa watu kufikia malengo yenu ya kisiasa na sasa mnajifanya hamna habari naye!! Ni kweli ana mapungufu yake, lakini niambie ni nani hana mapungufu?
 
Dr Slaa Hawezi akawa Tunu kwa Taifa letu.
 
Very unprofessional
 
Katika post zote ulizowahinandika hii ndo post ya maana
 
Alijidai eti kuukimbia ule mchezo pendwa wa maaskofu na mapadri.

Hivi josefina nae kamtema mzee?
Wewe nae mambo ya watu ya vyumbani yanakuhusu nini? Wewe si una mume wako,hebu hangaika na ya chumbani kwako ya Slaa na Josefina waachie wenyewe.
Halafu bila aibu kabisa unamwita Slaa Mzee unasahau wewe ni kikongwe pia.
 
Kila mtu alijuwa kuwa Dr Slaa Ni njaa na uchu na uroho wa madaraka ndio vinamsumbua sana.
Hata wewe mpaka sasa kinachokusukuma kuflood JF na mada zako zisizo na kichwa wala miguu ni njaa zako.Tunaomba sana mamlaka za uteuzi wakuone wakupe kazi utupumzishe hapa na magazeti yako ya kila wakati
 
Nyie CHAWA WA MAMA si mlipigwa marufuku na chama chenu imekuwaje wewe bado upo?
Yeye bado yupo mkuu,mpaka pale watakapompigia simu mamlaka za teuzi,huoni hapo mwisho lazima number ya simu aweke
 

Tunasimama na Dr. Slaa. Hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa bali malengo na agenda!
 
Huyo slaa ananyea kila kambi anayopitia.

Mtu wa hovyo, mwongo, mnafik, asiye na maadili, kuwahi kutokea Tanzania hii.
Navyowasoma wewe na dokta silaa mnaendana... ni washabiki wa dini zenu badala ya Mungu wa kweli!!
Mtoa madam yeye nishabiki wa chama Hana tofauti na ninyi pia,sisi tusosukumwa na vikundi tunaangalia ukweli na kuuunga mkono hatuangalii mtu,chama ama dini!
Mkataba bandari ni usaliti na upuuzi mkubwa! Tunataka katiba mpyaaaa
 
Wewe wacha ujinga, mnajulikana nyinyi ambao lilikuwa pango lenu lile la wizi.
 
Tunasimama na Dr. Slaa. Hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa bali malengo na agenda!
Dr Slaa Hana ajenda zenye maslahi kwa Taifa letu zaidi ya kuwa na ajenda binafsi zenye maslahi binafsi kwake. Ndio maana unaona alitowa maneno ya kutaka kupindua serikali.
 
Wewe nae mambo ya watu ya vyumbani yanakuhusu nini? Wewe si una mume wako,hebu hangaika na ya chumbani kwako ya Slaa na Josefina waachie wenyewe.
Halafu bila aibu kabisa unamwita Slaa Mzee unasahau wewe ni kikongwe pia.
Soma mada.

Tena sijagusa kabisa ya chumbani, muulize josefina kakimbia nini huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…