mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Faiza faiza faiza!! kweli?? haya!! kumbukeni kuweka akiba ya maneno!! huku kwenye siasa huwa hakuna adui wa kudumu au rafiki wa kudumu!! kesho Dr Slaa anaweza kuwa boss wako wa chama!! Boss wako wa chama leo anaweza kuwa hasimu wako kesho!! Dunia hii huwa inazunguka!! Wenye hekima huweka akiba ya maneno!!Nani amtumie yule? Labda mwenyewe alikuwa anajipendekeza kwa thamani ndogo.
Hapana mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani na wala siandiki kwa ajili ya kupata fadhila ya aina yoyote ile.Hata wewe mpaka sasa kinachokusukuma kuflood JF na mada zako zisizo na kichwa wala miguu ni njaa zako.Tunaomba sana mamlaka za uteuzi wakuone wakupe kazi utupumzishe hapa na magazeti yako ya kila wakati
Nani kakuambia Josephina kakimbia?Soma mada.
Tena sijagusa kabisa ya chumbani, muulize josefina kakimbia nini huko.
Sasa hoja hapo iko wapi.Acha matusi.ukishindwa hoja jitulize chini.
MwehuAcha matusi.ukishindwa hoja jitulize chini.
Sikiliza wewe na tambua ya kuwa kwa sasa Dunia ni kama kijiji na ipo kiganjani.Sasa hoja hapo iko wapi.
Unaandika ujinga halafu unalazimisha iwe hoja.
Umefanya wapi research kujua watu hawamtaki au kumpuuza Dr slaa.
Umejua wangapi hawampendi samia kwa sababu ya DP world.?
Fanya analyisis critical ndo uje huku badala ya kuja na upunguani wako humu
Unataka ushike nafasi ya Josefina kwa Dr.Slaa?Soma mada.
Tena sijagusa kabisa ya chumbani, muulize josefina kakimbia nini huko.
Dr Slaa Hana ajenda zenye maslahi kwa Taifa letu zaidi ya kuwa na ajenda binafsi zenye maslahi binafsi kwake. Ndio maana unaona alitowa maneno ya kutaka kupindua serikali.
Hakuna anayetaka kujishughulisha na habari za Dr. Slaa wala kufuatilia habari zake
Nikweli, naona umebaki pekeyako unaefuatilia habari zake!Hakuna anayetaka kujishughulisha na habari za Dr. Slaa wala kufuatilia habari zake
Hakuna anayemuelewa Dr Slaa Ndio maana unaona kila mtu amejitenga naye na hakuna anayemtetea wala kumjali.Dkt. Slaa tunamwelewa sana mjomba:
Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini
Slaa anaongea lugha ya watu.
Hakuna anayemuelewa Dr Slaa Ndio maana unaona kila mtu amejitenga naye na hakuna anayemtetea wala kumjali.
Mamilioni ya watanzania hawapo pamoja wala kumuunga mkono Dr Slaa.Ndio Maana kwa sasa hana mtetezi popote pale panapoelewekaKulikoni kutusemea sisi tunaomwelewa mno? Wasemee mambuzi wa Lumumba huko. Siyo sisi ndugu!
Piga pepsi hapo nalipaIt's you.
It's your shortest thinking capacity.
Wilbrod atabaki kuwa mtetezi wa maliasili zetu.
Historia ya Tanzania itamkumbuka. Aliyefungwa, aliefutiwa jina la ubalozi kwa kutetea bandari za Tanzania. Aliyepinga mkataba usio na kikomo.
Watoto au tuseme vizazi vyenu watafundishwa huko mashuleni.
Vipi wewe ni malaika huna dhambi?Once a traitor, always a traitor;
Slaa ni Mtu wa maslahi. Muongo, Mnafki na mzandiki. Hajawahi kuaminika sio Kanisani tu alikofunzwa na kufindwa, Bali hata Ndoa yake Halali na Mama Rose aliisalilti, Alisaliti Chama chake (CHADEMA), Amesaliti loyalty yake kwa Dola iliyompa Ubalozi.
Huyu anatembea na fursa tu, Hana analoliewa wala la kweli analosimamia.
Ni mjinga ataweza kudanganyika na hadaa za Slaa.
Mamilioni ya watanzania hawapo pamoja wala kumuunga mkono Dr Slaa.Ndio Maana kwa sasa hana mtetezi popote pale panapoeleweka
Huyo ni mama wa Abdul sio mama yako kenge wewe....mwite raisi inatosha au unatamani adoption?Nchi yetu ipo salama katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa mh Mama Samia Suluhu Hasssan ,na itaendelea kukaribisha na kuvutia wawekezaji hapa nchini kwa kuzingatia na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu,kama ambavyo amekuwa akifanya wakati wote mh Rais na serikali yake.
Huna adabu weweHuyo ni mama wa Abdul sio mama yako kenge wewe....mwite raisi inatosha au unatamani adoption?
Ni hatari sana.