Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu
Wengi hawajamuelewa Slaa, elimu yetu bado haijalisaidia Taifa kuzalisha wasomi wenye uwezo wa kuchanganua mambo.
Slaa yuko sahihi kabisa.
Ona huyu naye. Sasa asipoeleweka kwa watu wa kawaida anakua ameongea nini? Umeambiwa kuwa alikuwa akiwaelezea wasomi? Acha kukurupuka dogo. Slaa ni mnafiki tu hakuna namna.
 
Maajabu hayataisha duniani. Muda mwingine ni bora mtu akabaki kimya tu. Japo namkubali sana huyu jamaa ila sidhani kama alikuwa kwenye position ya kusema haya maana na yeye alikuwa ni mtu wa kuunga mkono kila jambo.
Anadhani labda tumesahau, watanzania wa sasa sio mambumbumbu kwamba hatutunzi kumbukumbu.
 
Kwanini wakati wa jpm hakuzungumza haya..
Huoni kama ni mnafki kama wanasiasa wenzake

Ova
Ni nani aliyethubutu kuzungumza chochote wakati wa JPM?
Tujikite kushambulia hoja ya Slaa, ni kweli au si kweli?
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Kumbuka anayo haki kama haki ya kuongea na kutoa mawazo na maoni yake hivo kupinga maoni yake huo ni wendawazimu na kuingilia maoni ya mtu mwingine
 
Kama Magufuli alikuwa sahihi katika Sheria kwanini uliuliza swali pale Ikulu.



Kwanini tenapenda kutenda dhambi kwenye sheria.

Sijasema JPM alikuwa sahihi kwenye sheria, nimesema amri ya rais ni sheria, hata kama amri hiyo sio amri halali!.

Rais alipozuia mikutano ya vyama vya siasa japo ilikuwa ni amri batili, lakini ilitekelezwa. Mamlaka pekee ya kusema amri ile ni batili, ni Mahakama Kuu, kwa vile hakuna yeyote aliyeiulizia amri hii batili, hivyo ubatili wake haukuwahi kuondolewa hadi hisani ya Mama ilipo uondoa
P.
 
HUyu chawa wa JPM anasemaje! Nimemchukia huyu kiazi upeo!
Hasa alipoongozwa na delilah kufanya maamuzi ya usaliti

Hasa alipoanzisha spinning kuwa TAL alipigwa risasi na wenzake chadema
Hasa alipoanza upuuzi wa kusema Mbowe ni gaidi.
He is simply rubbish especially after getting a curse when he broke his vow of celibacy!
huyu kila kitu anachofanya huwa hafanikiwi....upadre ukamshinda....ndoa ikamshinda.....kulea familiakumemshinda.....kimada wake josefini anamshindwa.....uccm ukamshinda.....uchadema ukamshinda....upinzani ukamshinda.....yupoyupo tu
 
Slaa ni kama Lowasa na Sumaye tu.

#1. Lowasa hakutoka CCM sababu anaichukia CCM, alitoka CCM sababu ya hasira ya kukatwa jina lake. Baada ya hasira kupoa aliona kuwa Upinzani kwake sio sehemu salama. Akaamua kurudi zake CCM.

#2. Slaa hakutoka Chadema sababu anachukia Upinzani. Alitoka kutokana na hasira za ujio wa Lowasa, na inawezekana aliona Jamaa kaja kuvuna wakati haukuwepo wakati wa kilimo.

Sasa hasira zimeisha. Anaona kuwa Upinzani ndio eneo lake sahihi. Anaangalia ya kurudi Upinzani.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.


Dr Slaa amemshutumu pia aliyepo, Kwa kuzuia Mikutano Kwa miaka 2.

Maana aliyeifungulia mikutano ndiye aliyeizuia kiharamu Kwa TAFSIRI Rahisi.
 
Anao alizaa na rose kamili wakati akiwa bado padre wa kanisa.

Na pia alizaa na mshumbusi mmoja

Mtu asie na maadili Wala principles.
Kumbe Ni mshenzi wa kiwango Cha lami? Halafu eti hamkubali Lowasa.
Nahisi Slaa alikua amepewa open check zile walizokataa kina Sugu ili aivuruge Chadema, ndio maana aliongezewa na zawadi ya kukaa ulaya na mke wa MTU.
 
Sijasema JPM alikuwa sahihi kwenye sheria, nimesema amri ya rais ni sheria, hata kama amri hiyo sio amri halali!.

Rais alipozuia mikutano ya vyama vya siasa japo ilikuwa ni amri batili, lakini ilitekelezwa. Mamlaka pekee ya kusema amri ile ni batili, ni Mahakama Kuu, kwa vile hakuna yeyote aliyeiulizia amri hii batili, hivyo ubatili wake haukuwahi kuondolewa hadi hisani ya Mama ilipo uondoa
P.
Hapa ndio maana tunasema Katiba yetu ni mbovu, kama amri ya rais ni sheria kuna siku tutapata rais kama Magufuli ambaye atatoa amri mimi au wewe tupingwe risasi 16.

Yani wewe uwekwe na rais pale mahakamani alafu upindishe uovu wa rais,utaweza!

Haya Matatizo tunayoyaona sifa kutetea watawala ipo siku yatakuwa mshahara wetu, kwa watoto wetu.
 
Back
Top Bottom