Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Mhaini huyo

View: https://twitter.com/kigogo2014/status/1691062945491394560?t=HmfGLXsu4LgHkH78MHha4A&s=19
 
🗑️🗑️
 
kwanza nijibu Zanzibar ni nchi au NI mkoa!?
KAMA ukijibu ni nchi Basi Tanganyika ipo , na Kama ww sio mzanzibar Basi mm na ww ni watanganyika , tuungane kulinda raslimali za Tanganyika yetu. Hiyo Tanzania unayoisema ipo ki ceremonial tu .
Zanzibar siyo mkoa bali ni sehemu ya Tanzania ambayo ina autonomous power.

Mimi siyo Mzanzibar na siyo Mtanganyika kwa sababu hata Passport yangu na NIDA vinaonyesha mimi ni Mtanzania
 
Tumerudia zama za Magufuli
Ni nani wameturudisha zama za Magufuli? Nadhani ni hawa ambao wanashindwa kutumia vizuri uhuru wao kujieleza. Huwezi kuhamasisha watu waandamane kupindua serikali halafu vyombo vya dola vikukalie kimya!!
 
 

Good, wanyongwe haraka
 
Ni nani wameturudisha zama za Magufuli? Nadhani ni hawa ambao wanashindwa kutumia vizuri uhuru wao kujieleza. Huwezi kuhamasisha watu waandamane kupindua serikali halafu vyombo vya dola vikukalie kimya!!
Ni lini walitaka watu wapindue serikali???
 
Ile clip umeiona ya mtangazaji anamhoji Nini kifanyike? Naanza kuogopa kidogo kama siyo sana.
Mdude Hana hatua ana advocate maandamano, ataratinu maandano. Kuratibu includes kuomba Vibali nk nk. Kwenye Majaji wa caliber ya juu, huyu ataachiwa huru.
 
Wadau, kwa mujibu wa Sauti ya Ujerumami (DW) mchana wa leo imedai Padri, Balozi Dr. Wilbroad Peter Slaa amehamishiwa jijini Mbeya ili kuunganishwa na wenzie Boniface na Mdude. Taarifa za ndani zinadai Slaa amesafirishwa kwa elikopta ya JWTZ alfajiri ya kuamkia leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…