Dkt. Slaa aomba Watanzania Tuamke, Tusichezewe, aitilia mashaka Tume ya Haki Jinai

Huyu mzee atulie tu anajiaibisha

Tunapaswa kumuhukumu mtu kwa alichokisema au hoja yake kwani hata mlevi anaweza kukushauri jambo linaloweza kukusaidia maishani.
Alichokisema kina maana sana ni muhimu kumchukia mtu isiwe sababu ya kuchukia hadi hoja zake.
 
Slaa ni mdini sana kkenge huyo
 
Dr Slaa katoa hoja ya Msingi, ila watu wamekazana kumjadili yeye.hivi nchi ina watu gani hii
Wangekuwa samaki tungewaita bungulusi Ila ujue wapo watu humu kazi yao ni hiyo ikija hoja ya maana wanaleta ujinga mwingi,ili tu ionekane Haina maana,wao wanalipwa Chao, hiyo ndio kula yao usiwalaumu sana
 
Wakati wa yule bwana wake amempa ubalozi alitulia sasa bwana amekufa anaanza kelele, mizee kama hii ilokosa akili inakuwaga mijinga sana.
Kwani sasa hivi Chadema wanapiga kelele kuhusu uongozi wa Mama?
 
duh kwakuwa kakosa ubalozi? hivi yule mkewe dogodogo alirudi nae?
 
Nani hakuufyata? Mashujaa wetu si walikimbia nchi kabisa [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
😂

Kuna Shujaa mmoja kasema ana shida na pesa kalamba za michango na 20% kaenda ila akirudi amaliziwe 24%

Kuna mmoja leta baga men! Yaani kasahau dona ndio limemlea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…