Dkt. Slaa aomba Watanzania Tuamke, Tusichezewe, aitilia mashaka Tume ya Haki Jinai

Dkt. Slaa aomba Watanzania Tuamke, Tusichezewe, aitilia mashaka Tume ya Haki Jinai

Wakati wa yule bwana wake amempa ubalozi alitulia sasa bwana amekufa anaanza kelele, mizee kama hii ilokosa akili inakuwaga mijinga sana.
 
Mlamba asali wa awamu ya magu, alilambiswa asali akaifyonza tena kweri kweri, sasa imeisha anatengeneza mazingira ya kupewa kibuyu kingine chenye asali aendelee kulamba,. Mpuuzeni.
 
Nani hakuufyata? Mashujaa wetu si walikimbia nchi kabisa [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Jambo la hatari ya maisha unaufyata ili uendelee kuishi. Wao waliogopa risasi wakakimbia na leo wako hai.
Hata ugonjwa ukiingia unaufyata kwa kuukimbia au kuvaa barakoa kama ni wa hewa.
Yule baba yenu akajifanya mbabe hawezi kuufyata na kuukimbia ugonjwa wa Corona ona ukamfyeka sasa hivi amepukutika, lakini waliokimbia risasi zake leo wako majukwaani kwa raha zao.
KUUFYATA NI UJANJA PIA
 
Dr. Slaa ambaye aliteuliwa na Dr. Magufuli kuwa Balozi na ambaye sasa amestaafu, amejitokeza hadharani kuipinga kamati ya haki Jinai huku akiitupia lawama serikali kwamba inawacheza shere wananchi .

Amedai kwamba kuleta Tume ya Haki Jinai katikati ya Mjadala wa Katiba mpya ni mbinu ya kupoteza muda, kwa sababu yote yanayojadiliwa kwenye Tume ya Haki Jinai ni lazima yawemo kwenye Katiba Mpya , sasa badala ya kujaza Matume yote haya kwanini jambo hili lisingeingizwa tu kwenye Katiba mpya?
Amuombe Mbowe msamaha apewe kazi ingine.
 
Jambo la hatari ya maisha unaufyata ili uendelee kuishi. Wao waliogopa risasi wakakimbia na leo wako hai.
Hata ugonjwa ukiingia unaufyata kwa kuukimbia au kuvaa barakoa kama ni wa hewa.
Yule baba yenu akajifanya mbabe hawezi kuufyata na kuukimbia ugonjwa wa Corona ona ukamfyeka sasa hivi amepukutika, lakini waliokimbia risasi zake leo wako majukwaani kwa raha zao.
KUUFYATA NI UJANJA PIA
Guys tujenge nchi, ukisikia ushoga Waislamu hawaulizi kama ni Mkristo na Mkristo haulizi kama Muislamu! Pale focus ni ushoga. Jifunzeni ku focus kwenye hoja badala ya mtoa hoja.

Dr Slaa anasukuma ajenda mnayoipigania badala ya kuunga mkono hoja mnaanza kujadili mtoa hoja. Hapa nyie wenyewe mmeshiriki kuvuruga mada ukitoa makamanda wachache wanaojitambua.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom