Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

Dkt. Slaa kamww si mhaini na wala hana vinasaba vya uhaini balu ana historia na vinasaba vya Uasi.

Alipoacha upadre, alienda kuoa, na kujiunga CCM
Baadaye akaicha CCM halafu akaja akaiacha ndoa.

Akajiunga na CHADEMA, akaungana na Josephine.

Akahama Katoliki akahamia kwa Gwajima na huko akawa Mtumishi wa kawaida na Gwajima akiwa Baba yake wa Kiroho

Akaiacha CHADEMA, akajiunga na serikali.

Akamuacha Josephine.

Aliporudi nchini akaiasi serikali
Usilolijua ni kama usiku wa giza😂😂

Huyo Gwajima ni mkatoliki pia
 
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!

Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu .

Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege na kufika majira ya saa tano usiku.Hivyo kazi ya kufatilia tararibu nilizoeleza hapo juu nilimwachia wakili Jebra Kambore akishiikiana na Chengula na wenzake.

Muda huu nimepigiwa simu na uongozi wa Polisi Oysterbay -Dar es Salaam wakinijulisha kuwa Dr. Willibrod Peter Slaa wamemtoa Mbeya usiku na wako naye kituoni hapo. Hivyo nifike kwa ajili ya kufanya utaratibu wa dhamana yake.

Wakili Dickson Matata
18/8/2023 saa 10:07 Asubuhi

Pia soma
- Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya
Du....uhaini una dhamana?
 
Next ni IGP, RPC wilaya ya kipolisi Dar, RPC Mbeya, RC Mbeya, Mkurugenzi Tishi, waziri wa katiba na sheria, waziri wa mambo ya ndani, waziri wa habari wanakwenda na maji, mama huwa hatanii
 
Hawezi hana hicho kifua angekuwa Bwana Yule wa kwanza ndio alikuwa anaweza
Next ni IGP, RPC wilaya ya kipolisi Dar, RPC Mbeya, RC Mbeya, Mkurugenzi Tishi, waziri wa katiba na sheria, waziri wa mambo ya ndani, waziri wa habari wanakwenda na maji, mama huwa hatanii
 
Next ni IGP, RPC wilaya ya kipolisi Dar, RPC Mbeya, RC Mbeya, Mkurugenzi Tishi, waziri wa katiba na sheria, waziri wa mambo ya ndani, waziri wa habari wanakwenda na maji, mama huwa hatanii
Waliolikoroga watalinywa, lakini acheni uchawa, mnampotosha mama!
 
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!

Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu .

Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege na kufika majira ya saa tano usiku.Hivyo kazi ya kufatilia tararibu nilizoeleza hapo juu nilimwachia wakili Jebra Kambore akishiikiana na Chengula na wenzake.

Muda huu nimepigiwa simu na uongozi wa Polisi Oysterbay -Dar es Salaam wakinijulisha kuwa Dr. Willibrod Peter Slaa wamemtoa Mbeya usiku na wako naye kituoni hapo. Hivyo nifike kwa ajili ya kufanya utaratibu wa dhamana yake.

Wakili Dickson Matata
18/8/2023 saa 10:07 Asubuhi

Pia soma
- Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya
Kumbe wahaini hupata dhamana!!
 
Back
Top Bottom