Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

Wakili wa Dkt Slaa amesema "Nimepigiwa simu na uongozi wa jeshi la Polisi kituo cha Oysterbay -Dar es Salaam kuwa Dr. Slaa amerudishwa Dar es Salaam na nifike kituo hapo kwa ajili ya taratibu za dhamana yake"

Ikumbukwe kesi ya Uhain haina dhamana na kama wamekubali apewe dhamana basi tutarajie mabadiliko ya mashtaka.

View: https://twitter.com/AdvMatata/status/1692437232517321174?t=eLlBzUOHJox7vLvX07gAaA&s=19

Pascal Mayalla

Mungu ibariki TLS,TLHRC na Watanzania wote wenye mapenzi mema
 
Hawa uliowataja huwa wanamuona Kadinali Pengo ni sawa na Sheikh Mwaipopo.Wape somo kuwa nchi hii ilikombolewa kwa mkono wa Vatican chini ya Mwalimu Nyerere.Huwezi kumdharirisha Katibu Mstaafu wa TEC ukabaki salama.
Bora angekuwa na makosa kweli. Ila kwa kusingiziwa kwa chuki tu hata Mungu hapendi
 
Bandari itabinafsishwa tu!
Tunajua ndio mmeshaamua lakini kunguni mlizosagiwa zimetosha kuwachanganya na hamtokuwa na amani endapo mtabinafsisha harafu matokeo yasiwepo hiyo laana itawala mpaka vizazi vyenu ya nne.

Usicheze na laana
Usicheze na kupoteza Amani

Ubabe una muda tu kama yalivyo madaraka

Muda utaongea tuombe uzima tu
 
Kama unasaga kunguni halafu harufu inakurudia mwenyewe, saga tu, ila Bandari lazima itabinafsishwa tu!
 
Tunajua ndio mmeshaamua lakini kunguni mlizosagiwa zimetosha kuwachanganya na hamtokuwa na amani endapo mtabinafsisha harafu matokeo yasiwepo hiyo laana itawala mpaka vizazi vyenu ya nne.

Usicheze na laana
Usicheze na kupoteza Amani

Ubabe una muda tu kama yalivyo madaraka

Muda utaongea tuombe uzima tu
Wana kamsemo kao wakiona wewe namna gani unawawekea kauzibe kwenye madili yao km haya ya Deipe Wedding wanakutanguliza Mbinguni ilikusudi 'ukafagie vyoo vya Malaika na kulala store'
 
Hivi ni kweli hao jamaa walifunguliwa mashtaka ya uhaini au zilikua hisia zetu?
Serikali ikisikiliza kilio inabezwa...isipo sikilizwa inabezwa. Wapinzani tumekua kama watoto
 
Kahitimisha kazi yake iliyompeleka Mbeya.

Once a system always a system - Courtesy Zomba.
 
Hivi ni kweli hao jamaa walifunguliwa mashtaka ya uhaini au zilikua hisia zetu?
Serikali ikisikiliza kilio inabezwa...isipo sikilizwa inabezwa. Wapinzani tumekua kama watoto
Tamko la IGP ulisikia?
 
Wana kamsemo kao wakiona wewe namna gani unawawekea kauzibe kwenye madili yao km haya ya Deipe Wedding wanakutanguliza Mbinguni ilikusudi 'ukafagie vyoo vya Malaika na kulala store'
Wajaribu waone kwa Katibu mstaafu wa TEC 😁watajua idadi ya mzunguko wa Dunia
 
Back
Top Bottom