Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana


Matumizi Mabaya ya kodi za waTZ.
 
Fahamu sheria za nchi kijana
Huyo hajashtakiwa bado.
Ameitwa kuhojiwa.
Siku ukiskia kashikiliwa kwa kosa la uhaini huyo hamtomuona tena.
Subiri kidogo.
Kumbe haikuwa uhaini, sasa nyie mbona mlileta nyuzi humu za kumtuhumu Slaa kwamba ni 'haini' ?
 
We mtoto. Baada ya huyo Mjinga wenu kufanya kosa la uhaini mnaingiza kutumia majina ya kanisa ili apate kuinewa huruma sio?
Huyo hata mumvishe msalaba kilo 50 lzm akanyee kwenye ndoo.
Nyie wapiga debe wa gongo la mboto usanii hamuwezi.
huyu Slaa lzm atiwe adabu
 
Kumbe haikuwa uhaini, sasa nyie mbona mlileta nyuzi humu za kumtuhumu Slaa kwamba ni 'haini' ?
Aliyekwambia sio uhaini nani.
Subiri kijana acha pupa.
Unachukua maneno ya Matola ukadhani yana ukweli?
Mtu anajiita Doctor PHD MATOLA! We unadhani mzima huyo?
 
Aliyekwambia sio uhaini nani.
Subiri kijana acha pupa.
Unachukua maneno ya Matola ukadhani yana ukweli?
Mtu anajiita Doctor PHD MATOLA! We unadhani mzima huyo?
Kama ni Uhaini mbona kaachiwa kwa dhamana ?.....
 
Maana ya SLAA kwenye
Kama ni Uhaini mbona kaachiwa kwa dhamana ?.....
Ndio nakwambia hujui sheria.
Jambo la kwanza lililofanyika ni kumuita na kumhoji
Kisha anapewa dhamana .
Kinachofuata ni upande wa serikali kufungua kesi.
Ushahidi ukionyesha Ana kosa la kujibu la uhaini anaitwa tena police station hapo ndipo anafutiwa dhamana.
Sasa ombeni sana Dua mama Samia amsameh .
Naskia mawakili na wachungaji mapadri na maaskofu wameenda kupiga magoti ikulu .
 

Wawajibishwe binafsi Kwa kumsafirisha Slaa Dar - Mbeya - Dar bila ridhaa yake, bila sababu yoyote na kwa gharama zetu.

La kumshikilia kinyume cha sheria liendelee kuwahusu.

Pia waachiliwe wote wenzake.
 
Kuzuia watu wasikemee uuzaji wa bandari kwa waarabu ni sawa na kumziba tembo kwa kivuli cha fimbo au kulifunika jus kws ungo. Tanzania ni nchi iliyolaaniwa na Mungu. Nikifikiria upumbavu unaoendelea hapa nchini nashindwa kupata jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…