paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Kwa hiyo unayadhobiti mawazo yangu Kwa kuhalalisha Ujinga wako siyo?Kwahiyo watanzania ni wataalam wa kutalii nchi nyingine ivyo haitasumbua kwan tutatalii wenyewe??, ivi majitu mengine huwa yanaandika yakiwa yamekatwa vichwa au nn??
Kichwa panzi wee
Una hakika hawataiba ? Zimbabwe kuna vikwazo, viongozi hawaibi ? Anaeteseka zimbabwe ni Rais, waziri ? Kama hujui maana ya vikwazo. Nenda Zimbabwe na Iran au sudani.....usishabikie vitu ambavyo huvijui unajidhalilisha ni bora ukae kimya.Tukishaumia kwa vikwazo tutawalazimisha wasiibe Tena kura,mbona rahisi Sana.sisi w
Mwambie jiwe maneno hayo maana ndio kasababishaUrakapoanza kukosa vidonge vya ARV ndo utajua hii safi sana ilivyo sana
Nimegundua hujui maana ya kuwekewa vikwazo, kwa kukusaidia, bei ya petrol/diesel itapanda na itapelekea vitu kama mfano:-sukari ikipanda hadi 10,000 tsh, cement 50,000, unga 5000/kg, watakao umia ni sisi wa chini au ni viongozi waliopo madarakani, napima IQ yako ili nijue unachoshabikia vikwazo unaelewa athari zake ama la. MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI SHABIKIA VIKWAZO
Unawajua vizuri UKaids na USaids?Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China? Au nako pia haitowezekana?
Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya?
Nadhani ni vyema kujifunza kutokana na makosa. Kosa la kususa bunge lilitumika kunogesha kampeni mwaka huu. Hili la kuita vikwazo laweza kutumika kampeni za 2025. Wanaweza kuwaambia wapiga kura kuwa chama fulani kilitaka tufe kwa njaa, n. k.NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka kuongoza hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Kwakuwa najua wewe huna mama ndio maana siwezi kukwambia na wewe mwambie mamaako.Ambia mamako
Ndio tunaweza na tumekuwa tukifanya na dunia nzima. Bidhaa ni kama tumbaku, katani, chai, madini n.kSi tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??
Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Tutaumia sote hivi hao CCM wanaokaa maskani nao hawatoumia ? Hivi viongozi si wanalindwa na majeshi na polisi? Sasa niambie kama rumba likiwa kali kwa sote hawa polisi nnkwania majeshi kwani wanatoka mbinguni. ?Wewe ni kijana mdogo sisi tulioishi wakati wa Karume Mkubwa tunaijua hiyo hali. Hao majeshi mwiisho hawakuweza kustahamili wakaamua kumwondosha.Nimegundua hujui maana ya kuwekewa vikwazo, kwa kukusaidia, bei ya petrol/diesel itapanda na itapelekea vitu kama mfano:-sukari ikipanda hadi 10,000 tsh, cement 50,000, unga 5000/kg, watakao umia ni sisi wa chini au ni viongozi waliopo madarakani, napima IQ yako ili nijue unachoshabikia vikwazo unaelewa athari zake ama la. MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI SHABIKIA VIKWAZO
HunayoKungekuwa na hoja ningekujibu.
Tutaipata kutoka BurundiTutegemee hali kuwa mbaya zaidi kwa miakahii mitano kaa sababu hatutapata support yeyote kutoka ulaya.
Kwani lini kulikuwa na uchaguzi tz? Huo si uchaguzi ni uchafuziNadhani ni vyema kujifunza kutokana na makosa. Kosa la kususa bunge lilitumika kunogesha kampeni mwaka huu. Hili la kuita vikwazo laweza kutumika kampeni za 2025. Wanaweza kuwaambia wapiga kura kuwa chama fulani kilitaka tufe kwa njaa, n. k.
Ona huyu!wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Umama huo...sasa unadhan wanamkomoa mumeo Magu au Tz nzima??Safi sana
Okay okayAlichozungumza ni nchi za ulaya wazungu huwa wana roho mbaya sana