chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
We mjinga sana, uwekezaji ulaya uko juu kiujumla wake, mboga, matunda na watalii wa ulaya ni muhimu kwa uchumi wetue!wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Hebu kubali kuwa mimi sikubaliani na weweHuenda tukashushwa kurudi kwenye nchi maskini duniani. Yaliyotokea Zimbabwe sasa yananukia Tanzania.
Hii comment inahusiana nini na ujinga/Ushamba anaoufanga jiwe?Ninyi ndio mnakiangamiza chama chenyevbila kujijua. Mnang'ang'ania vitu ambavyo havipo badala ya kujenga vyama vyenu. Ikifika uchaguzi, mnakuwa hamjajipanga. Mkishindwa mnadai mmeibiwa kura. Wajinga kabisa ninyi!!!
Ni kweli kuwa video ya dr slaa hujaionaBila video ni porojo
Hebu tuwe wakweli, kwenye Waswahili kumi na Wazungu kumi ni upande gani utapata wenye roho safi wengi kwa asilimia?.Alichozungumza ni nchi za ulaya wazungu huwa wana roho mbaya sana
Wewe kama wewe, unafurahia vikwazo ?Ni kweli
watu kuuliwa na kutiwa kilema si kitu kuliko hivyo vikwazo?
Donner country,tukaze buti maana tunaenda kula jeuri ya watawala wetu wazalendo sana.Haya yalitarajiwa,lilikuwa suala la muda tu.Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia...
Endelea kuamini. Lakini wapiga kura wa Tanzania wameishawashtukia. Salam waliwapa Oktoba, 2020. Msipobadili strategia mtapotea kabisa 2025! Tunza hii komenti.Nyinyi mnakijenga chama chenu kwa kuweka askari na vifaru barabarani na kukodisha .majeshi kutoka Burundi au vipi mkuu
Mjinga na mshamba kamsambaratisha Shoga wa Ubeleji hana kahama nchi! Ahahahahahaha! Msalimie na Amsterdam. Mwambie huku tuna Jiwe!!!!!Hii comment inahusiana nini na ujinga/Ushamba anaoufanga jiwe?
Kwanza clip yenyewe haijaeleza kisa chote. Siwezi kutoa maoniHabari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia....
Huyu naye anaongea ujinga tu. Sasa yeye alitaka aingie kwenye bunge la Ulaya? Wao wanafanya maamuzi baada ya kujirizisha.Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia...
Mfano mziri ni Zimbabwe. Kama ingekuwa ni rahisi kiasi hicho Zimbabwe ingeamua kufanya biashara na China halafu maisha yakaendelea lakini bado inawahitaji wazungu.Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??
Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Sio wazungu wana roho mbaya sana, sisi ndio tunafanya ujinga. Hao wachina tunataka kuwaona wana roho nzuri kwasababu wana ujinga kama wa kwetu tuliouanzisha.Alichozungumza ni nchi za ulaya wazungu huwa wana roho mbaya sana
Mbona wengine wanasema ni ya mwaka Jana?Inawezekana kuna mchezo unachezwa hapa kwani hii press ya kina Mdee imetoka leo huku clip ya Dr.Slaa ikionekana kuwa posted mtandaoni masas 14 yaliyopita...