Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tena kutoka kwa mnaowaita "mabeberu".Mnachukua hela/Mkopo wa COVID 19 kumbe mna ZERO CASE.saaa which is which?
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kutoka kwa mnaowaita "mabeberu".Mnachukua hela/Mkopo wa COVID 19 kumbe mna ZERO CASE.saaa which is which?
Ulaya wakikata mahusiano sisi ujue Asià wako njianiwewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Hivyo vitu anavyouza mchina huko ulaya na Marekani huwa vinatengenezwa na wenyewe wazungu. Viwanda vyao wamevipeleka China ili wapate cheap labour na kukimbia kodi.
Vitu anavyotengeneza mchina ndio hivi tunavyoletewa sisi huku tukaringa haviko kwenye standard
Bunge la Ulaya limeihukumu Tanzania lini?
Mbona Balozi wa Tanzania Ubelgiji alisema yale ni maneno ya wabunge tu na si msimamo wa Bunge hilo?
Mabalozi wawili wa Tanzania wanapishana maneno, mmoja anasema Bunge limetuhukumu, mwingine anasema halijatuhukumu yale ni maneno ya wabunge tu?
Hawa mabalozi wana coordination? Au kila mtu anaongea vyake tu?
Issue sio kuhitaji faida kubwa bali makubaliano ya kibiashara tunayoingia kama nchi ili kudumisha urafiki kati ya mataifa haya. Miongoni mwa conditions za mchina ni kufungua mipaka kwaajili ya wananchi wake kufanya kazi nchini kwako, kumiliki ardhi na kuruhusu flow ya bidhaa zake hata kama hazina ubora wa kiwango stahiki ili aweze kukupa mikopo nafuu.Ni wachina au ni sisi wenyewe tunakubali bidhaa za kwa kuhitaji faida kubwa
Shukurani kwa ufafanuzi muhimu sana.Hii no ya mwaka jana
kuwezaa tunaweza ila mpaka tuwekeze kwenye kuweza... kufanya biashara na nchi ulizozitaja inawezekana tuu, tatizo miundombinu ya ufanywaji wa biashara hizo una mkono wa tusiowapenda... mfano umeaagiza mzigo china meli iliyopo ni ya wazungu na wamegoma kufanya biashara na wewe hapo inakuaje?Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??
Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Umesahau official response ya kabudi mara baada ya azimio la bunge la ulaya, we have been granted right to be heard but we never know how to use itLini
Atakaye sababisha aliyeharibu uchaguziUna hakika hawataiba ? Zimbabwe kuna vikwazo, viongozi hawaibi ? Anaeteseka zimbabwe ni Rais, waziri ? Kama hujui maana ya vikwazo. Nenda Zimbabwe na Iran au sudani.....usishabikie vitu ambavyo huvijui unajidhalilisha ni bora ukae kimya.
Hayo yote ni uroho wa madaraka wa viongozi.Una hakika hawataiba ? Zimbabwe kuna vikwazo, viongozi hawaibi ? Anaeteseka zimbabwe ni Rais, waziri ? Kama hujui maana ya vikwazo. Nenda Zimbabwe na Iran au sudani.....usishabikie vitu ambavyo huvijui unajidhalilisha ni bora ukae kimya.
Cheap labour jumlisha na kodi zero toa na usafirishajiHivi cheap labour kipi ni gharama ukilinganisha na transportation
Hizo ARV unazokunywa zinatoka Nangurukuru?wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..