Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Ulaya wakikata mahusiano sisi ujue Asià wako njiani
 
Hivi cheap labour kipi ni gharama ukilinganisha na transportation
Hivyo vitu anavyouza mchina huko ulaya na Marekani huwa vinatengenezwa na wenyewe wazungu. Viwanda vyao wamevipeleka China ili wapate cheap labour na kukimbia kodi.

Vitu anavyotengeneza mchina ndio hivi tunavyoletewa sisi huku tukaringa haviko kwenye standard
 
Ni wachina au ni sisi wenyewe tunakubali bidhaa za kwa kuhitaji faida kubwa
Swali zuri sana hili. China wameigeuza Tanzania kama Dumping place kwa bidhaa zao mbovu.
 
Hii no ya mwaka jana
Bunge la Ulaya limeihukumu Tanzania lini?

Mbona Balozi wa Tanzania Ubelgiji alisema yale ni maneno ya wabunge tu na si msimamo wa Bunge hilo?

Mabalozi wawili wa Tanzania wanapishana maneno, mmoja anasema Bunge limetuhukumu, mwingine anasema halijatuhukumu yale ni maneno ya wabunge tu?

Hawa mabalozi wana coordination? Au kila mtu anaongea vyake tu?
 
Ni wachina au ni sisi wenyewe tunakubali bidhaa za kwa kuhitaji faida kubwa
Issue sio kuhitaji faida kubwa bali makubaliano ya kibiashara tunayoingia kama nchi ili kudumisha urafiki kati ya mataifa haya. Miongoni mwa conditions za mchina ni kufungua mipaka kwaajili ya wananchi wake kufanya kazi nchini kwako, kumiliki ardhi na kuruhusu flow ya bidhaa zake hata kama hazina ubora wa kiwango stahiki ili aweze kukupa mikopo nafuu.
Kwahiyo mkuu hii hali Ina deep routes
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
kuwezaa tunaweza ila mpaka tuwekeze kwenye kuweza... kufanya biashara na nchi ulizozitaja inawezekana tuu, tatizo miundombinu ya ufanywaji wa biashara hizo una mkono wa tusiowapenda... mfano umeaagiza mzigo china meli iliyopo ni ya wazungu na wamegoma kufanya biashara na wewe hapo inakuaje?
 
Kumbe nanyinyi mnamshipa wa hofu, endeleeni kujifanya maroboti tuone mwisho wenu.
 
Umesahau official response ya kabudi mara baada ya azimio la bunge la ulaya, we have been granted right to be heard but we never know how to use it
Ndio maana walihoji matumizi ya euro 27m for Corona prohibition punde baada ya kuzipokea tukaitangazia dunia kwamba the country has Corona free
Muwakilishi wetu kidiplomasia alizungumza kwa niaba yetu ndio tumeshasikilizwa ivo
 
Una hakika hawataiba ? Zimbabwe kuna vikwazo, viongozi hawaibi ? Anaeteseka zimbabwe ni Rais, waziri ? Kama hujui maana ya vikwazo. Nenda Zimbabwe na Iran au sudani.....usishabikie vitu ambavyo huvijui unajidhalilisha ni bora ukae kimya.
Atakaye sababisha aliyeharibu uchaguzi
Kwani sisi tuliwatuma waibe Kura zetu.kama wananchi wanataka wabunge au diwani tofauti kwanini walazimishe?mkulima Mimi sijaona manufaa yeyote miaka 60 ya kujitawala na sitoona tofauti yeyote vikwazo vikija.mahindi na Michele nilimao wananunua wamakonde kwa Bei ya kutupwa.
 
Una hakika hawataiba ? Zimbabwe kuna vikwazo, viongozi hawaibi ? Anaeteseka zimbabwe ni Rais, waziri ? Kama hujui maana ya vikwazo. Nenda Zimbabwe na Iran au sudani.....usishabikie vitu ambavyo huvijui unajidhalilisha ni bora ukae kimya.
Hayo yote ni uroho wa madaraka wa viongozi.
 
Kuhusu nchi yakusadikika Kyle pehu...Madhara ya viongozi vichwa resi visivyo na hekima yamedhihirika. Viongozi watukana watu mara mabeberu nk,mnawajibu hovyo kujidai mnaweza kujitegemea alafu wakiondoa ushirikiano mnatapatapa eti muitwe muongee... Utalii,uwekezaji,misaada,elimu,afya,biashara,tafiti vyoote vitaathirika sana sababu ya ubabe wakijinga wawatu wachache wanaojiona wanamaguvu.
Dr znaa anaaibisha taifa laperu kwa anachoongea kwakuwa anajua vizuri demokrasia inavyominywa bila aibu...bora alikimbia upadri maana idadi ya mapadri waongo na waznz ingeongezeka nalabda yy angekuwa kiongozi wao katika kuwachochea wenzie akiaminika anaakili nzuri.
 
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Hizo ARV unazokunywa zinatoka Nangurukuru?
 
Back
Top Bottom