Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Ppppp
 
Huyo babu hana tena mvuto analazimisha lakini waaaapi naona anahangaika tu sijui anataka tena ateuliwe , kimsingi kila kitu na wakati wake hana anachoweza kushauri wala ku comment akaonekana wa maana apumzike tu, ikiwezekana arudi kanisani.
 
Siku hizi humu baada ya uzi ni matusi tu. Kwani mnaomtukana huyu mzee mnakosoa hoja ipi? Zamani watu wali quote sentensi na kupangua hoja! Mbona mambo mengi kaongea kwa ushahidi mzuri tu? Au mnataka kusikia yanayowasha masikio yenu tu!
Ushahidi gani alioweka
Anaongea vitu bila ushahidi kwa sababu anajua setikali itamlinda hata chadema wakimpeleka mahakamani..
Mtu ambaye anatetea katiba ya sasa unaona ana akili huyo..
Anayeponda ushahidi wa wazi wa CAG ana akili huyo?
Huyu babu ni mwendazake incarnated..
 
Dr Slaa soma upepo wa kisiasa mama Samia ni tofauti na Magufuli yeye anajali sana siasa safi za ustaarabu constructive maelezo unayotoa yangesaidia kipindi cha awamu ya tano na yalikusaidia siyo sasa hivi. Mama ana mlengo tofauti wa kuleta renconcliation, resilience, reform na national building ongelea hayo constructively vinginevyo utapotea kisiasa. Ushauri wa bure
 
Yawezekana huyu Slaa ndiyo aliyejenga ile kesi tunayoambiwa ya ugaidi!

Huenda ndiyo aliyekuwa anamjaza mwendakuzimu mineno mpaka akauchukia upinzani waziwazi!

Angekuja kuomba kutoa ushahidi mahakamani! Siyo kesi imeshafutwa, yeye ndiyo anajitokeza na upashkuna wake!

Hizo siasa zilikuwa enzi zile, siku hizi watanzania hatutaki, tunataka kuambiana mitikasi ya kutupa pesa!
Nimeshangaa sana! Anataka kuturudisha enzi zile za ujima
 
Mshumbusi yupi?
Babu alishaachwa na jimama.
 
Simumepata ushahidi kutoka kwa mtu mnayemwamini kuwa CHADEMA ndio waliomteka Joseph na kumpiga Lissu risasi, wakamateni CHADEMA muwapeleke mahakamani wakafungwe.
 
Mshumbusi yupi?
Babu alishaachwa na jimama.
Jimama liligutuka hakuna kitu hapo, Kwa Mungu hayupo duniani hayupo!
He is undergoing frustration kuwa jobless!

Katoliki ni watu wa msamaha, aombe kazi ya kufundisha huko vyuoni kwao!
Ila akikosa apewe hata ukatekista atafaa Sana kufundisha komunio na kipaimara!

Nimemshusha Sana! Nilimheshimisha kila nilipoona discussion zozote zinataka kumharibia sifa!
Hakuna cha uzalendo ni mchumia tumbo!
 
Waambie wapuuzi hawa.
 
Slaa kaongea ukweli...hata ben saanane alitekwa na red brigade...mbowe ni muhusika mkuu wa utekaji
 
Huyo Mama ni timing bomb tu. Maandamano yakianza utaona alivyomwepesi kuanza kichwani hadi rohoni.
 
Dr. Slaa amejitahidi kuzungumza lakini ameacha doubts nyingi karibia kwenye kila hoja yake;

- Dr. Slaa kwenye suala la Katiba Mpya anasema haina maana kwasababu haiwezi kuleta chakula mezani kwa mwananchi, Katiba Pendekezwa nayo anasema ni mbovu kuliko Katiba hii tuliyonayo hivi sasa.

Namshangaa kama anakiri Katiba iliyopo hivi sasa ni mbovu, kwanini hataki Katiba Mpya ifanyiwe mipango ili ianze kutumika? kwanini anataka tuendelee kuongozwa na Katiba mbovu?

- Kuhusu suala la Lissu kupigwa risasi, anasema hilo halizungumzii kwasababu hata Chadema palikuwepo na mtindo wa kutekana.

Slaa anasahau kama alishawahi kulizungumzia hilo suala pale aliposem Lissu sio wa kwanza kupigwa risasi, sijui kwanini amebadilisha huo msimamo wake?

Kwanini aaminiwe sasa anapodai Chadema huwa wanatekana wakati ameshaonesha hana msimamo kwa kile anachozungumza?

- Ubunge wa kina Mdee, Slaa anasema Spika hana kosa kwamba Chadema walitakiwa kufungua kesi mahakamani kuishtaki tume ya uchaguzi kupinga nani walipeleka yale majina yao.

Hapa napo anafeli, mahakama na tume ya uchaguzi vyote ni zao la serikali ya CCM, hapo sioni nani wa kupoteza muda wake kupeleka kesi huko.

Chadema kwa upande wao walichoamua kufanya naona walikuwa sahihi, walimtaarifu Spika wa bunge kama taratibu zinavyotaka kisheria baada ya chama kuwavua uanachama watu wake.

Huyu Slaa hapa sijui kwanini amekimbia hii hatua muhimu iliyopo kisheria anakimbilia kwenye mambo mengine ya kufikirika.

Kwanini Spika asilaumiwe kama njia ya kumtaarifu ilishatumika kabla na ikafanyiwa kazi na bunge lakini kwa kina Mdee iwe tofauti? wao wana u-special gani?

- Slaa anadai awamu ya tano haikufeli kwenye diplomasia ya kimataifa, anazungumzia uwekezaji wa nje. Wakati wafanyabiashara wa hapa ndani walikuwa wakisumbuliwa na kina Sabaya, Dr. Slaa hakuwahi kusikia haya?

Na hao wa nje waliokuja kuwekeza ni wakina nani? anazungumzia ufisadi kama vile ulikuwepo awamu ya tatu na ya nne, awamu ya tano haukuwepo? hapa napo kuna vitu anaficha.

- Kuhusu uhusiano wake binafsi na Lowassa, hapa hakuna tatizo, lakini kwanini alikuwepo wakati wa kumpokea Lowassa na picha ya pamoja wakapiga? mpaka kufikia hapo hakujua kama ujio wa Lowassa unapingana na "principles" zake? kwangu naona kuna jambo alikuwa analisubiri [nafasi ya ugombea Urais] alivyoona halijatokea ndio akakimbia kwa kisingizio cha "principles"?
 
Mzee Slaa,anajiongezea laana....Damu ya Lissu pale Area D,itawatesa wengi sana Maisha yao yote!
Hiyo Lisu ni kimbwengo tu! Damu yake ndo nini? Lisu aliuawa? Damu inadai anapokuwa mtu kauawa!
 
Ujua wao wanaamini Mbowe ni malaika na wanachadema wote ni wema! Nakuambia ukianikwa ubaya na maovu ya Mbowe watashika kichwa! Hata Sumaye aliambiwa sumu haionjwi!
Kwani chadema wanaishi na watu Kimalaika? Hakuna wanaotendea uovu? Rejea Slaa anavyosema! Unaweza kumshutumu mtu kumbe aliyetenda yuko pembeni kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…