Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

And Yet ulikaa kimya kipindi hicho ?

Kama uliweza kuficha maovu then kwa sababu moja au nyingine tunajuaje leo haufichi mengine au kutunga mengine kwa namna moja au nyingine
 
Huyu Mzee anafanya spinning kututoa kwenye Katiba Mpya ni Sasa.
 
Siku hizi humu baada ya uzi ni matusi tu. Kwani mnaomtukana huyu mzee mnakosoa hoja ipi? Zamani watu wali quote sentensi na kupangua hoja! Mbona mambo mengi kaongea kwa ushahidi mzuri tu? Au mnataka kusikia yanayowasha masikio yenu tu!
Wewe umeona ushahidi? Huoni kama wewe ni sehemu ya watu wanaofanya JF kuwa mahali pa hovyo kabisa siku hizi?
 
'Spin doctor' at work!
 
Wewe unajadili hoja gani ya CAG ambayo umehakikisha ni ufisadi?
 
Taahira huyu
 
Huyu Mzee anafanya spinning kututoa kwenye Katiba Mpya ni Sasa.
Ameuliza swali zuri kama umemsikiliza, amesema hapingi katiba mpya lakini sio muarobaini wa matatizo yetu, Anasema ameshiriki kila hatua anafahamu kilichotokea.

Mfano kasema kuna katiba bora kuliko Bible na Quran? Watu hawatendi dhambi? Amesema Katiba ya Warioba ilichakachuliwa na kuwa mbovu zaidi kuliko iliyopo na ndio msimamo wake na Chadema wakati ule.

Anasema hata mchakato wa kupata wajumbe wa bunge la katiba Chadema walipinga! Hivyo ni vizuri kuwa makini na mchakato wa katiba tunaotaka.

Ukimsikiliza ukiwa umevua chuki yapo mengi ya msingi amezungumza.
 
Tunakushukuru sana Mungu kwa kutuondolea huyu Mamluki Chadema

Mtu akitokea kuongea mabaya ya Chadema. Hachukiwa na kubezwa. Nafikiri siasa nzuri ni kujibizana kwa hoja. Au kukanusha aliyosema kama ni kweli au si kweli.
 
Wewe unajadili hoja gani ya CAG ambayo umehakikisha ni ufisadi?
Nitahakikishia kupitia mijadala inayoendelea hata kama mimi si participate. Nitasikiliza pande zote ndio nitaamua nimuamini nani.

Ni kama vile sina uhakika nani alimpiga risasi Lissu lakini baada ya kumsikiliza Lissu na Slaa, najua Slaa ni muongo au disingenious. Nimesikia hoja ya uwanja wa Chato na ninahisi kuna kitu kinachoendelea ambacho hatujaambiwa.

Nimesikiliza Slaa akizungumzia suala la wakina Mdee na naona anajaribu kutetea tu ugali wake. Pale ni wazi kuwa taratibu na Katiba ilikiukwa. Na sio Chadema waliokiuka. Slaa kupata kigugumizi kusema hilo ni ushahidi tosha kuwa hizo principles unazosema anazifuata sio zile alizoanza nazo.

Anasema kuwa wawekezaji walikuwepo wakati wa awamu ya tano lakini viongozi wa chama chake kila kukicha wanatuambia kuwa wawekezaji wanaRUDI baada ya milango kufunguliwa tena.

Slaa wa sasa haaminiki kabisa. Which is a shame maana kuna wakati tulimuamini sana. Kama ilivyokuwa kwa Mrema.

Amandla....
 
Njaa mbaya sana
 
Huyu mzee asipoangalia vizuri ataanza kuchezea bakora za akina Kibatara kana ana maushahidi.
 
Nafikiri Dr. Silaa Ali ripoti hiyo ishu panapo husika ndiyo maana mahojiano yake ameisha na Sentensi "Ukiwa kiongozi lazima uwe kunasema ukweli hata kama unaona watu wako wanakosea"!

Thanks Quote Reply
Repor
 
Kweli kabla hutujapata uhakika wa mambo tusiwe wepesi wa kuongea utafikiri umeona kwa macho yako. Duniani kuna sili nyingi sana. Tuangalie mambo hayo ya CHADEMA pia. Miaka kadhaa huko nyuma Mwenyekiti wa CHADEMA aliwahi kuja kwetu lakini mzazi wangu aliniambia jambo moja lilinifanya nitafakari zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…