Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Huyu padre aliyekana kiapo chake na kumnyang'anya Mahimbo mke wake siyo wa kumuamini kabisa. Na sasa kakimbiwa na yule mchumba ndiyo amekuwa mropokaji tu kama Cyprian Musiba vile apuuzwe tu amejiunga na Sukuma Gang .
Munachukia wasema ukweli. Dr Slaa ni mmoja wa viongozi bora Tanzania. Mumezowea opportunists kama Zitto Kabwe na puppets kama Tundu Lissu. Hampendi ukweli. Viongozi njaa bila siasa hawali
 
Wakati unajiuliza hayo pia jiulize kwaninj Chacha Wangwe aliuawa? Aliuawa na nan? Kwanini katika ile ajari dereva wake hakupatwa na mchubuko? Nia ilikuwa nn? Then kaa chini tafakari kuwa Siasa sio mchezo! Usije ukadhani ata ndani ya chama chako kuna watu wasafi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile kamati za PAC na LAAC zinakuwa zakazi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa hajielewi na hajiheshimu.Anajidhalilisha.Akiulizwa maswali ya mitego asiwe anajibu.Dokta Mihogo sucks!
 
Hivi Tukio la Dr Ulimboka lilikuwa Siri? Tukio la Kubenena kumwagiwa tindikali lilikuwa siri? Tukio la Mwangosi pale Iringa kupigwa bomu na mwili wake kukatika vipande lilikuwa siri? Hivi lile tukio lingetokea wakati wa Magufuli ingekuwaje? Tukio la Mjumbe wa Kamati ya Katiba Mpya kupigwa na kitu kizito kichwani baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana nyumban kwake lilikuwa la siri? Nzungumzia Dkt Mvungi.

Mbona yote yalikuwa ya wazi tu ndugu? Au usiri gani unauzungumzia wewe? Jaman!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Zitto anapenda cheap politics! Zitto ananulika sana, Zitto ni mtu ambaye anadandia hoja nyepesi mno! Kipindi cha Magu anaagiza Boeing 787-8 Zitto huyuhuyu ndo alituambia sio 787-8 Serikali inadanganya ila wananunua Terrible Tins naam ni Zitto!

Ni Zitto mdiyo aliyeanza kutuaminisha kuwa Magufuli amefariki siku ile pale Ruangwa ambapo moshi wa ajabu utoka mbele ya JPM! ZITTO alifikia hatua ya kumpost moaka Samia na kumuambia sasa Zamu yako ila baada akashangaa JPM anakuja kiwaapisha watu akageuka kuomba radhi!

Ni Zitto ndiyo anaemini katika Demokrasia lakini ndani ya Chama chake ile nafasi haigombewi! Kwaiyo Zitto ni Amoeba! Ye anabadilika tu kulingana na mazingira na Zitto huyohuyo ukimuuliza vizuri amenusulika matukio ya kuawa ndani ya Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slaa hajapinga Lissu kupigwa risasi ila kapigwa na nani?
Ndugu nakuambia katika siasa kuna mambo mengi! Si CCM wala si Chadema, kuna watu humo ndani ni mamafia kwelikweli na wanashirikiana kwenye mambo yao ya mauaji vzri tu! Usicheze ata kdg na hawa watu ukiteleza unaenda na maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kukusaidia tu nakupa picha ya tukio la ajari lililoondoa uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila mwaka 2015 tukielekea kwenye uchaguzi mkuu!

Tafakari vyema kwenye hiyo picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

..ukatili ulikuwepo awamu ya 4, lakini ufisadi ndio ulikuwa sifa kuu ya awamu hiyo.

..ufisadi ulikuwepo awamu ya 5, lakini ukatili ndio ulikiwa sifa kuu ya awamu hiyo.

..kwa mtizamo wangu hizo ndizo tofauti baina ya awamu hizo za utawala wa Ccm.
 
..ukatili ulikuwepo awamu ya 4, lakini ufisadi ndio ulikuwa sifa kuu ya awamu hiyo.

..ufisadi ulikuwepo awamu ya 5, lakini ukatili ndio ulikiwa sifa kuu ya awamu hiyo.

..kwa mtizamo wangu hizo ndizo tofauti baina ya awamu hizo za utawala wa Ccm.
Sawa mtizamo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wanauwana wao kwa wao
 
Hizi ndio hoja za kumuuliza atoe maoni. Walau wewe umeibuka na hoja ya msingi. Dr Slaa kwa principles zake za kusimamia ukweli, hili la Lissu hajalisemea kwa viwango tunavyotegemea kwa levels zake.
Hana uwezo huo....mtesiwa Lissu anajilikana....muda hiini chakula ya funza!
 
Mzee kabaki bechula Mshumbu tunamgonga huku mtaani kama hakuwahi kuwolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…