Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Hawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao!
Tukubali kwamba kwa wakati huu Slaa anasema yanayoeleweka kwa wananchi; awe ni kibaka, mwizi, gaidi, muongo, n.k. tunasema asemayo kwa sasa ni perfect!

Bahati nzuri pia tukubali kwamba, ufaham,u wa Binadamu unaturuhu kuuona uaminifu wa Slaa usoni. KUna watu kwenye majukwa hata wakipiga kelele, tunachoona ni akili mbaya na sura za uongo.

Wengi wao ni CCM na vibaraka wao. Wengine ni Chadema uchwara hasa wasaka fursa - ubunge na ruzuku:

Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
 
Wengi wao ni CCM na vibaraka wao. Wengine ni Chadema uchwara hasa wasaka fursa - ubunge na ruzuku:

Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
Lengo cha chama cha siasa au harakati za siasa ni kushinda vitu vya ubunge bungeni na kuchukua dola
Sasa hiko chama cha siasa au harakati za siasa ambazo hazina hayo malengo watakua wanafanya futuhi

Kwanin ubunge bungeni ndo sheria mbovu au nzuri zinapopitishwa
 
Hakuna aliyekukutaza unaongea as if kuna mtu aliyekukataza kusimama naye

Kama ambavyo hakuna aliyekulazimisha kusimama naye.

Ila wewe na Slaa wewe si kinyangarika tu?

Inafahamika CCM na vibaraka wao pia wasaka fursa vyamani Slaa mmpende vipi?
 
Kama ambavyo hakuna aliyekulazimisha kusimama naye.

Ila wewe na Slaa wewe si kinyangarika tu?

Inafahamika CCM na vibaraka wao pia wasaka fursa vyamani Slaa mmpende vipi?
Kuna sehemu nimemdharau slaa
Ni kweli slaa amenizidi mengi sana
Lakin sisupport yeye kulazimisha chadema waifuate movement yake
 
Mnamstukia leo huyo mzee asiyekuwa na maadili?

Hoja chungu zipi mbona slaa amekua mbunge miaka 15 na amegombea urais 2010
Leo hii kwake ubunge hauna maana nchi hii kwa unafki

Slaa amekua katibu mkuu wa chadema leo hii anawangonga
Unafki ni tatizo kubwa baada ya magonjwa, umaskini na ujinga
 
Nina muda huo mchafu basi? Wewe kambebe huyo Slaa ukaishi naye kwako kama unampenda saaana. Tuachie Mbowe wetu sisi tunayemkubali.
Wacha upumbavu unapojibu hoja zilizo juu ya uwezo wako. Najua huna uwezo wa kujadili lolote la maana hapa.
 
Kwa hiyo kwa maoni yenu, kila takayekuwa na maoni tofauti na ya Mbowe, akasajiri chama?
Inategemea
Ila Kwa ishu kama ya slaa ya kuwalaumu chadema eti hawaungi mkono movement yake ni ya kijinga sababu kwanza yeye sio mwanachama wa chadema
Ofisi za msajili zipo wazi jumatatu mpaka ijumaa
Mbona zito alitumia haki yake
 
Back
Top Bottom