Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,966
Mheshimiwa Dr. Slaa kumbe alipokuwa nje ya nchi alikuwa akishughulikia mradi wenye manufaa kwa akina mama na watoto. Mungu ambariki kiongozi shupavu na mvumilivu.

Rais Kikwete na Dr Slaa Wakiwa Katika Uzinduzi wa Jengo bohari ya dawa CCBRT


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.


IMGS0725.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

IMGS0729.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na mgahawa.

IMGS0761.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid

IMGS0765.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa

IMGS0769.jpg

Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

IMGS0772.jpg

Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

IMGS0775.jpg

Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

IMGS0891.jpg

Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo

IMGS0899.jpg

Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo

IMGS0901.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

IMGS0902.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Bw. Erwin Telemans baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

IMGS0903.jpg

Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
 
Ha ha haaa, moyo wa chuma sasa utageuka wa nyama
 
Zungumzeni mambo yenye mantiki bana sasa kila mtu anataka kua rais
 
Kumbe Chadema ndio ilimfanya Slaa aonekane wa maana? Ona mwonekano so inferior to Jk!
 
huyu mheshimiwa anajiChora tu....kama sio kujichora, basi wenzake wanaMchora!!

tutaelewa mambo mengi sana baada ya tar25 october..



Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa.

View attachment 294731
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen


Source:Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar Ijumaa Oktoba 3, 2015

 
Dr Slaa amekuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa waliofika katika sherehe za uzinduzi wa Jengo la kuhifadhia madawa.

Aidha Dr amesema CCM imefanya mengi mazuri ambayo pongezi nyingi anastahili kupewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Kikwete.

Katika hotuba yake Dr Slaa amesema sasa ni wakati wa Watanzania kuwa makini katika kuchagua viongozi wenye maadili na sio wenye uchu wa madaraka.


Rais

Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw.

Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Sla
 
Back
Top Bottom