Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa.

View attachment 294731
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen

Source:Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar Ijumaa Oktoba 3, 2015

...hii si habari mpya......slaa tayari alikuwa mwenyekiti(rais) wa bodi ya ccbrt tangu kitambo....ameshawahi hata kutembea matembezi ya hisani ccbrt na kina JK....uenyekiti(urais) wa slaa kk bodi ya ccbrt si jambo jipya...labda kama mnataka kuwaaminisha watu hivyo ili wasahau kilichotokea kwa slaa kisiasa....Labda jambo jipya lije liwe yeye slaa kurudi ccm alikokuwa kitambo kabla hajaenda chadema...jambo ambalo sasa tayari ni tetesi....Soma gazeti la mwanahalisi....
 
Mwa J, eti kama mcheza shoo wa Pepe Kalle
uvaaji gani huo? mibwanga kama mcheza shoo wa pepekale!! mi mtu akinivalia hivyo akatoka kwenye issue kubwa hivyo nampa likizo,

hapo ni nje hiyo bukta, boxer itakuwa imepwaya balaa
 
Josorobert

Sijaona hapo RAIS hata mmoja,afadhali angekuwepo RAIS wa ACUDO INPACT ningeshoboka kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Dr. Slaa wewe ndo kiongozi wa kweli uliyebakia. MUNGU AKULINDE MILELE
 
Dr Slaa amekuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa waliofika katika sherehe za uzinduzi wa Jengo la kuhifadhia madawa.

Aidha Dr amesema CCM imefanya mengi mazuri ambayo pongezi nyingi anastahili kupewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Kikwete.

Katika hotuba yake Dr Slaa amesema sasa ni wakati wa Watanzania kuwa makini katika kuchagua viongozi wenye maadili na sio wenye uchu wa madaraka.

Rais

Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw.

Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Sla
[/QUOTE

Sijaona RAIS hapo hata mmoja,Afadhali angekuwepo RAIS wa ACUDO INMPACT ningejifariji angalau.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Sla
 
Maajabu haya hivi makonda si angetoshantu kwenda kuzindua
 
Yaani kaondoka Ukawa na Shati likampwaya!
IMGS0775.jpg
 
Jmn ama kweli,,,kikwete siojui kifo chake kitakuwaje namchukia zaidi ya shetani,,,anagawa vyeo hovyo hovyo tuuu tn anafanya kwa makusudi kbxaa
 
Kaamua kujipa cheo cha urais!
Baada ya kuona Urais wa JMT umebuma, kaona bora ajipe Upresidaa wa CCBRT.

Duh............... Dr wa Mihogo ana mikwara.................................................
 
Back
Top Bottom