Josorobert
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 629
- 215
Watanzania tunataka mabadiliko yaliyo bora kutoka kwa Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr wewe ni mfano wa kipekee Tanzania
Ni kweli anastahili pongezi Dr SLaa kwa kutambua mchango wa CCM
Kuna maisha baada ya kutoka CDM....Dr Slaa safi sana
Dr Slaa amekuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa waliofika katika sherehe za uzinduzi wa Jengo la kuhifadhia madawa.
Aidha Dr amesema CCM imefanya mengi mazuri ambayo pongezi nyingi anastahili kupewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Kikwete.
Katika hotuba yake Dr Slaa amesema sasa ni wakati wa Watanzania kuwa makini katika kuchagua viongozi wenye maadili na sio wenye uchu wa madaraka.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw.
Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Sla
Watanzania tunataka mabadiliko yaliyo bora kutoka kwa Magufuli.
Magufuli kwa maendeleo ya Taifa.
Mkuu unasababisha anxiety Ufipa
Thubutuuuu tumeshamsahau.
Kama sio huu uzi nilikuwa sikumbuki kama kuna mtu anayeitwa Slaa.
Hivi bodi inaongozwa na rais au mwenyekiti!