Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Sasa utakipenda vipi chama ambacho hata uwepo wake tu haujulikani, mkuu 'sitagliptin'?

Si angalau usubiri kidogo ujue kinachosimamiwa na chama hicho. Wakija wote wanasema waTanzania tuwe watumwa wao, bado utakuwa unashangilia?
 
Ni vyema ili aje stuambie kwanini alikuwa anapigwa na Mushumbusi na kwanini alilazwa nje baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais pale Mbowe alipokata kona hewani alipomchukua Lowassa.

Itatakiwa atuhakikishie wana umoja party, Role ya Josephine Mushumbusi ni ipi ndani ya chama kabla hatujamchagua awe mwenyekiti wetu. Je bado anautaka ufirst lady wa nchi au ufirst lady wa umoja party utamtosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…