stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Sawa mkuuYeah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuYeah.
Safi sana watazania wengi wanamwelewa sana kuliko hawa chadema hata wanachoongea hatukielewi. Kusema ukweli nani anamwelewa kaka mbowe lisu na lema hata walixchojia tanzania hatukielewi kabisa Silaa mimi kama mkono wa tembo nitainua mkonga wangu mbinguni kukuombeaAtakuwa amesoma vyema Alama za Nyakati, na atapiga sana hela.... Akiwa serious atifikia Jungu Kuu la Asali.
Azichange vema karata zake.
Nani msaliti kati ya yule anayeenda kufungua mkutano wa siasa mwanza amelewa na aliyechukua rushwa kumkaribisha lowasa?
Watanzania wa machame mliouza chama Monduli au?
mbona mbowe hajaomba radhi kwa kuungana na maccm?wewe umemwona dr slaa pekee na wanaolamba asali je?
Mimi nilidhani tungemtaka Mbowe atuombe radhi kwa kumkaribisha Lowassa kwenye chama chetu, licha ya kuwa tulimtambua kama fisadi mkuu kabla ya mwaka 2015.Atuombe radhi kwanza waTZ Kwa kutusaliti.
Mimi pia nitafanya hivyo huku nilipo, ikiwa atafuata sera hizo.Kama ni kweli basi Nitajenga Ofisi ya Chama ya Kata na nitakua Mwanachama kindaki ndaki .
Muhimu wafuate sera za Magufuli
We hunishindi mimi. Nimemiss sana siasa za upinzani wa kweli.
Huyo haaminiki tena kwa kuwa anashikiwa akili na mchumba wake Josephine
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mimi nilidhani tungemtaka Mbowe atuombe radhi kwa kumkaribisha Lowassa kwenye chama chetu, licha ya kuwa tulimtambua kama fisadi mkuu kabla ya mwaka 2015.
Au huo haukuwa usaliti?
Hawa waliopo sasa ni wachumia tumbo tu, wanapiga kelele pale ambapo wanabaniwa mirija yao ya kupiga hela (kama ilivyokuwa wakati wa JPM), na wanafyata mikia yao pale ambapo wanapewa buyu la asali kama ilivyo sasa.Bora kipitikane chama cha upinzani wa kweli na sio kama awa wengine.
This is soo unfairMwendakuzimu hakukuwa na alichokuwa akikiamini, he was living by the day. Atakavyoamka siku hiyo mood yake ndiyo humuongoza aamini kitu gani, ile issue ya kwamba ana file Mirembe ilikuwa ikijidhihirisha katika matendo yake. Hata chawa wake walichokuwa wakijua ni kwamba wakimfurahisha kwa namna yoyote ile basi uhakika wa ulaji(ubwiaji asali) kwao unakuwepo, yaani sera ilikuwa ni kumfurahisha Jiwe.
Kwanini sasa mnachukua ruzuku mkuu?[emoji23][emoji23] Eti wana mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa, huyo mbunge alitokea wapi wakati hakukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
Unamaanisha kwamba, ule ulikuwa ni usaliti wenye faida?Faida za kumkubali zilikuwa ni nyingi kuliko kumkataa.
Uliona matunda yatokanayo na jamaa kujiunga upinzani?
Kuwaibia kura Hawa itakuwa ngumu maana michongo yote wanaijuaKitakuja kuhodhie team jpm na team slaa!!
Yaani neutralization reaction ya ccm na Chadema!!
Ni Chama kipya cha UPINZANI Baada ya kifo cha CHADEMA!
Pole pole, Bashiru usajili mpya huo hapo 2025!
Mkuu inaelekea wewe umeanza kufuatilia siasa za Tanzania juzi!Faida za kumkubali zilikuwa ni nyingi kuliko kumkataa.
Uliona matunda yatokanayo na jamaa kujiunga upinzani?
Mkuu inaelekea wewe umeanza kufuatilia siasa za Tanzania juzi!
Chadema kilikufa siku walipokubali kumpokea Lowasa, hakiwezi kuaminiwa na watu timamu tena, KAMWE!
Walikosea sana ku compromise kwenye misingi ya kuanzishwa kwao na ukikosea hapo maana yake hakuna taasisi.
Mimi binafsi nilikua nawakubali sana lakini baada ya pale nilijisikia kuwadharau sana.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Unamaanisha kwamba, ule ulikuwa ni usaliti wenye faida?